Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

mwanzoni nilikuwa na hizo idea lakini baadae nilikuja kugundua kuwa kinachofanywa na hollywood ni kuingiza tabia flani kwa watazamaji mfano, ushoga, kuchafua wanachoona hakitawapa manufaa wao, kupinga dini flani na kuijengea muonekano mbaya, kuwaonesha waafrika wanavyonyanyasika na kuwa dependents na wezi wasio na waliojawa na tabia za rushwa na ukatili... nk
 
Huwa naamini uchawi wa Bagamoyo ni mkubwa kuliko wa Freemanson. Hawa hawalogi ila wanatumia pesa kutest jambo wanalolitaka na kuona mwitikio ukoje na kuwandaa watu wasipanic sana iwapo jambo lao ni la kushtusha. Mfano kwa wale watazamaji movie wataelewa kuwa movie nyingi na katuni nyingi zimeshaonesha siraha ya laser light mpaka mwaka jana USA walifanikisha kutengeneza bunduki ya kwanza ya laser light.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeeh Baba...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe umeyatoa wapi hayo
 
Angalia movie , ufurahishe nafsi , hayo unayoyaumba mbona hayana uhalisia
 
Watakatifu wa siku za mwisho hatuwazi juu ya hayo,.japo yalishanenwa..tunasibiri tuu ukamilifu wa dahali.
 
Kwenye mitandao kuna kila aina ya takataka,chunguza vyema unayoyasoma mtandaoni kabla ya kushare na watu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…