Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

Acha kuwagopesha watu, zile ni sci-fi tu wala hazina uhusiano na jambo lolote, kila unachoona kina-program ubongo wako, kwa jinsi ubongo wako unakuwa programmed ndivyo akili yako inakuwa hivyo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Mkuu nini maana ya kuabudu na hatua za kuabudu ni zipi???

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kuabudu maana yake ni kuamini kutuuza kwa unyenyekevu huku ukiheshimu na kutegemea majibu chanya.
Taratibu zake ni kufuata yale uliyokaririshwa bila kukosea na kukosa nafasi (uru wa kuhoji chochote).
Ninaamini umeelewa.
 
Ndio

Nataka uniape taratibu za kuabudu..
 
Thanos kwa mara ya kwanza ame apear kwenye comic book "the invincible iron man" mwaka 1973, movies nyingi za mavel studios zinafuata storylines za kwenye comic books zilizotoka miongo kadhaa iliyopita. hakuna cha mpinga kristo wala nini ni just entertainment.
 
Mimi kuna kipindi nilikua nafatilia haya mambo mwishowe nikaja kuona yananipotezea muda tuu. Hii ni baada ya mimi kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Mimi hao Freemason wananihusu? Hapana
2. Mambo wanayofanya yananiathiri moja kwa moja? Hapana
3. Kuna chochote nachoweza kubadilisha? Hapana
4. Naweza kuzuia mpinga kristo asije? Hapana
5. Kama maandiko lazima yatimie, kuna chochote cha kuyabadilisha? Hapana
6. Sasa nahangaika nini??? Hakuna
Kwisha!
 
Umenichekesha ujue .
Just to be aware of that kumbuka hata biblia imetuonya tuwe macho muda wote

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Mimi kuna kipindi nilikua nafatilia haya mambo mwishowe nikaja kuona yananipotezea muda tuu. Hii ni baada ya mimi kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Mimi hao Freemason wananihusu? Hapana
2. Mambo wanayofanya yananiathiri moja kwa moja? Hapana
3. Kuna chochote nachoweza kubadilisha? Hapana
4. Naweza kuzuia mpinga kristo asije? Hapana
5. Kama maandiko lazima yatimie, kuna chochote cha kuyabadilisha? Hapana
6. Sasa nahangaika nini??? Hakuna
Kwisha!
Kweli KBS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3ffe6c0f8e244a845b62df5805230907.jpg

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hi ya doctor stranger lazima ni icheki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom