walikurupuka kuitoa wakiangalia upepo wa agenda za feminist na girl power badala ya kufocus na build up nzuri ya story, angalia hata The marvels na Wakanda forever zote zime flop kwa kuwa wamefocus na feminist agenda wala sio story, sababu kuna movie nyingine lead role ni mwanamke ila zina focus kwenye story na zikafanya vizuri kama Wanda Vision, Captain Marvel, Ms Marvel