Binafsi nakubaliana na agizo la msajili wa vyama vya siasa Ndg. Mutungi kuwa viongozi wa kidini wasishiriki kwenye siasa za vyama badala yake wajikite kuhubiri neno la Mungu.
Hivi karibuni wamekuwa wakionekana baadhi ya maaskofu na hata masheke wakishiriki kikamilifu kwenye shughuli za kisiasa. Jambo hili ni hatari kwa umoja na mshikamano wa Taifa letu.
Siasa zetu ni tofauti sana na nchi zingine, tusiige nchi zingine, tubaki na utaratibu wetu ambao umeendelea kutufanya kuwa wamoja.
Viongozi wetu wa dini tunawaomba muwakemee viongozi wenzenu ambao kila kukicha wapo kwenye majukwaa ya kisiasa.
Nawatakia jumapili njema.