Karibu sana jamvini.Habari naomba ujumbe umfikie mheshimiwa... Mimi ni binti yatima sina baba kakangu ndo kanisomesha tangu form one mpaka chuo kikuu kwa hii biashara ya mtumba nmemaliza chuo nmekosa ajira nmeamua kujiingiza kwenye hii biashara ya mtumba..alafu Leo hii nasikia unaifungia.. MUNGU WANGU TUEPUSHE SISI WAJA WAKO AMINA
Vipi mtani. Nawe ni mdau wa mitumba??Mmmmmh
Nimekuelewa rob Asante kwa ushahuri mzuriNunua Mtumba Wakutosha In These Three Month Kama Huna Hela Kopa Halaf Wakifungia Unauza Kwenye Black Market Tena Kwa Bei Ya Juu Sana Hata Faida Mara Tatu,,,,,,
Habari naomba ujumbe umfikie mheshimiwa... Mimi ni binti yatima sina baba kakangu ndo kanisomesha tangu form one mpaka chuo kikuu kwa hii biashara ya mtumba nmemaliza chuo nmekosa ajira nmeamua kujiingiza kwenye hii biashara ya mtumba..alafu Leo hii nasikia unaifungia.. MUNGU WANGU TUEPUSHE SISI WAJA WAKO AMINA
Ubarikiwe sanaUtaisoma namba
Hivi si walishazuia soksi, chupi ,sidiria. Naamini hivyo havipo tena sokoni.
Huu ni uamuzi mmoja mbaya sana. Je tutavaa nini? Au kwa kuwa wao wananunuliwa nguo kutoka kwa wabunifu hawajui watu wa chini tunavaa nini. Tusuburi ila siamini. Acha niweke akiba ya maneno
Aaah ngoja tusubiri binafsi namuomba saana Mungu isipigwe marufuku make tayari nshawekeza saana kwa hii biashara na wadogo zangu wanaendelea kusoma kwa hii biasharaBinafsi niliacha kuvaa nguo za madukani tangu 1990.hapo nitakuwa mgeni mkipiga marufuku.
Asante saana kwa ushahuri mzuri ntaufanyia kaziFanya mpango nenda Johannesburg si umesoma na hela ndogo tuu kanunue nguo za watoto na viatu na mawigi ya kike vipo bei chini...nguo au vitu vya watoto havina kodi kwa vinatongenezwa pale vipo bei ndogo utapata faida...maduka ya pep na mr price kule ndio maduka ya watu wa hali ya chini ila vitu vyao ni bora hata jet na Edgars pia ukichanganya sio mbaya hayo maduka yapo kerk street mbele ya mahakama aliyohukumiwa Mandela...na bongo utalipia kodi vizuri tuu maisha yataenda usikwepe kulipa kodi utapoteza mtaji hata kama ni mdogo....ukienda huko utajifunza vingi kwa kuwa wewe ni mjasiriamali.
Hukumbuki sukari ilikuaje? Walioficha sukari walifanyiwa nn?Nunua Mtumba Wakutosha In These Three Month Kama Huna Hela Kopa Halaf Wakifungia Unauza Kwenye Black Market Tena Kwa Bei Ya Juu Sana Hata Faida Mara Tatu,,,,,,