Mitihani ya taifa sasa hivi itatungwa na mabwana afya na mabibi afya na kusahishwa na ma DC.
kwani huko somalia nani anatunga hiyo mitihani? Mbona wako poa tu?
Mitihani ya taifa sasa hivi itatungwa na mabwana afya na mabibi afya na kusahishwa na ma DC.
The presidence and CCM leadership is currently suffering the effects of misjudgments in appointment of leaders who should be an advisory machine.The move is a "political suicide" and hindrance to government policies on Education. Add that to current utter paralysis of our tertiary health system. You wouldn't sease to wonder who is advising JK?Ni kweli kabisa Walimu waliogoma hawatashiriki Sensa kwa hofu kwamba watahujumu zoezi zima lakini pia kama adhabu. Na kwa kuongezea kuna mkakati wa kuwaadhibu Walimu wote walioshiriki kwenye mgomo. Majina yalitakiwa yawe yamefika TAMISEMI jana saa 7 mchana yakiambatanishwa na Check No na TSD Na. kwa hatua zaidi.
Kuna sababu nyeti sana iliyosababisha walimu watolewe. Actualy kitendo cha wao kuingia kwenye mgomo imekuwa sababu ya kuwapiga chini kirahisi. Unafahamu kampeni ya kuteua hao makarani ilikuwaje? unajua role ya wajumbe? mjumbe ni kiongozi wa serikali? ina maana huna hata kijana mmoja wa mtaani akakumegea amepataje post ya ukarani? Tafakari mjomba, usilalamike tu kuwa kuna ufisadi wa nafasi hebu chimba ndani zaidi then utakuja kamilifu
Sikuelewi,una maana waalimu hawaheshimiki kwasababu wamegoma,you are crazy,far from it.Waalimu wanaheshimika kwasababu wamegoma,isipokuwa wangeheshimika zaidi, kama wangesusia shuhuli zote za serikali hii yenye dhuluma ya kutisha,including sensa.Kwa kutaka kushiriki kwenye sensa, wanaonekana hawako serious.Walimu kupitia kwa kiongozi wao G. Mukoba wamelia kuengukiwa katika zoezi la sensa linatarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Mukoba akiongea na waandishi wa habari amewataka walimu kuwa wavumilivu na kujua hiyo ni fitna ya serikali kuwakomesha kwa kujihususisha na mgomo batili.
Nawapa pole walimu kwa unafiki wao vinginevyo wangeheshimika badala ya kudharauliwa kama sasa.
Poleni.
tutaonana 2015. Lazima mtawaheshimu walimu wa nchi hii
Sikuelewi,una maana waalimu hawaheshimiki kwasababu wamegoma,you are crazy,far from it.Waalimu wanaheshimika kwasababu wamegoma,isipokuwa wangeheshimika zaidi, kama wangesusia shuhuli zote za serikali hii yenye dhuluma ya kutisha,including sensa.Kwa kutaka kushiriki kwenye sensa, wanaonekana hawako serious.