Marufuku Ushoga Nigeria-Sheria Imepitishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marufuku Ushoga Nigeria-Sheria Imepitishwa

Discussion in 'International Forum' started by IsangulaKG, Dec 1, 2011.

 1. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Marufuku Ushoga Nchini Nigeria Katika kile kinachoonekana kuikomoa Uingereza na kuachana na utumwa wa misaada yanye masharti ya kipuuzi, hatimaye Bunge la senate la Nigeria imepitisha Sheria ya kutoruhusu ushoga Nchini humo.

  Hatua hiyo imekuaja wakati Nchi za ulaya zikizishinikiza nchi za Afrika kuruhusu ushoga kama sharti la kupata misaada. Mitandao ya Mashoga nchini Nigeria na Kwingineko wameendelza vuvuzela la kupinga sheria hiyo...lakini ndoo ishakula kwao hivyo! Bofya Hapa Kusoma Zaidi
   
Loading...