WILLIAM MARCONI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 2,307
- 952
Historia ya Nchi yetu inaonyesha kuwa Uhuru wetu uliletwa kwenye Ibada kama hizi, au makongamano ya Dini. Jana tu Kanisa Katoliki lilikamilisha Mfungo wiki nzima kuombea Haki.
Naomba kwa leo watu tujadili hili Kongamano la Amani la Umoja wa Mainamu Tanzania UMATA, Mgeni rasmi alialikwa Rais. Tangu zamani ilikuwa hivi, ungekuta Wakristo watatu tu: Nyerere; Rupia; na Mbowe.
Kwa nini watu wanasahau historia so quickly? Askofu Mwamakula analalamika Kiarabu kwani
kasahau Kilatini cha Wakatoliki wakati tukipigania Uhuru? HII HAPA:
View: https://www.youtube.com/live/XhiZ4SnsiNo?si=L7aH-jZ_BkFaj-H6