oooh! no no no my cute, i really can't do that. you know what! my boss expects to meet his ex tomorrow he then asked me to fetch him one just for his protection. I love you and it won't happen!Complex no, let me try to comment a bit, she has to ask her husband politely, apart from me do you sex outside?? If he replies no, then continue I find condoms in your pocket. Then observe silence.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji108] [emoji108] kwa kweli ciliamshi dude ntamshukuru kwa kunilinda!!Kama utapatana na Condom ktk wallet ya mumeo basi Umushukuru sana Mungu kwakuwa mumeo anajali afya ya familia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama utapatana na Condom ktk wallet ya mumeo basi Umushukuru sana Mungu kwakuwa mumeo anajali afya ya familia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiijuta ktk pichi ya mke nitampatia nafasi aende akajinafasi zaidi na kitu kipya alichokipata. Vitabu vya Mungu hakuna mahali hata kwa bahati mbaya vimehalalisha mwanamke 1 kumiliki waume zaidi ya mmoja. Zingatia mwanaume anatoa talaka hapewi talaka.Na ukikuta kwenye pochi yake mwanamke je? Mwanaume utakaa kimya na kushukuru Mungu?
Mkuki mtamu jwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.Nikiijuta ktk pichi ya mke nitampatia nafasi aende akajinafasi zaidi na kitu kipya alichokipata. Vitabu vya Mungu hakuna mahali hata kwa bahati mbaya vimehalalisha mwanamke 1 kumiliki waume zaidi ya mmoja. Zingatia mwanaume anatoa talaka hapewi talaka.
Sent using Jamii Forums mobile app