Marufuku kumwita mtu fulani: "Mwamba"

Marufuku kumwita mtu fulani: "Mwamba"

Mwamba ni Yesu tu. Alipigwa, akafa na siku ya tatu akafufuka. Ameshinda kifo.
Huyu hakufa ila risasi 36, unadhani mchezo?
Tembo risasi 1 tu, anakufa.

Hakuna ushahidi wa kufufuka kwa Yesu kwanza.

Ila Lisu tumemuona
 
Wewe ni kichaa usichanganye mambo ya rohoni na mwilini mwamba rohoni ni kama ulivyosema bt mwilini kuitwa mwamba inamaana ni mtu jasiri mpambanaji,imara lakin pia kimazingira au kijografia ni jiwe au rock.
 
images (8).jpeg

Cc: Mahondaw
 
Imezuka tabia, siku hizi, watu wanapomuona mtu fulani ana msimamo thabiti, imara, wanamwita “Mwamba.”

Kwa mujibu wa Maandiko, "Mwamba" ni jina lenye uzito mkubwa kiroho. Jina hilo ni la Yesu Kristo peke yake, kama Maandiko yanenavyo katika 1 Wakorintho 10:4b.

Kumwita mwanadamu “Mwamba” ni kumpa utukufu asiostahili.

Yesu tu ndiye anayestahili kuitwa Mwamba.

Nawasihi kwa heshima zote, tusiguse utukufu wa Yesu.
Watu mliyookoka juzi mnatabu saaaana.
 
Acha mbwembwe, Kuna watu wanaitwa God, Gehovanaa(God in Italian), Emmanuel nk
Mtaifahamu kweli nayo hiyo kweli itawaweka huru(Yn 8:32). Wewe tayari umeijua kweli, kwamba hatupaswi kugusa utukufu wa Mungu. Bado tu unataka kushikilia makosa ya wengine. Hao kama wanaitwa hivyo labda hawajaujua ukweli huu. Waambie.
 
Kwa sisi wakulima, Mwamba ni ardhi ngumu iliyoinuka isiyofaa kwa kilimo au sehemu ya ardhi iliyoinuka ngumu isiyo na manufaa yoyote.
Hata mimi ni mkulima. Mwamba na ardhi ni vitu viwili tofauti.
 
Imezuka tabia, siku hizi, watu wanapomuona mtu fulani ana msimamo thabiti, imara, wanamwita “Mwamba.”

Kwa mujibu wa Maandiko, "Mwamba" ni jina lenye uzito mkubwa kiroho. Jina hilo ni la Yesu Kristo peke yake, kama Maandiko yanenavyo katika 1 Wakorintho 10:4b.

Kumwita mwanadamu “Mwamba” ni kumpa utukufu asiostahili.

Yesu tu ndiye anayestahili kuitwa Mwamba.

Nawasihi kwa heshima zote, tusiguse utukufu wa Yesu.
Mm nataka niitwe mwamba nastahili kabisa that name

.Mimi ni mwamba
 
Imezuka tabia, siku hizi, watu wanapomuona mtu fulani ana msimamo thabiti, imara, wanamwita “Mwamba.”

Kwa mujibu wa Maandiko, "Mwamba" ni jina lenye uzito mkubwa kiroho. Jina hilo ni la Yesu Kristo peke yake, kama Maandiko yanenavyo katika 1 Wakorintho 10:4b.

Kumwita mwanadamu “Mwamba” ni kumpa utukufu asiostahili.

Yesu tu ndiye anayestahili kuitwa Mwamba.

Nawasihi kwa heshima zote, tusiguse utukufu wa Yesu.
Uzwazwa unasumbua. Haya wangemwambia jiwe wangeeleweka, Mbona wao wanaitana chawa na hakuna anayelalamika?
Mwamba Father of All naandika
 
Back
Top Bottom