Hizo cd ndo zilitumika kuhamasisha waumini wa dini yetu tukufu kumpigia kikwete kura na si kafiri! Nampongeza dr sheikhn kwa maamuzi yenye uzalendo kwa taifa letu!
Hapo umesema kweli kabisa,tungepata watu kama nyie mkaendelea kuwaelimisha hawa wenzetu nina imani kuna siku wangefunguka macho.Tusio waislamu tunaitwa kafiri.
LAKINI KUMBUKENI WOTE TUMETOKA KWA MUNGU.
Mnaweza kudhani nyinyi ni wamoja kumbe kuna SUNI NA SHIA.
JANA TU NIMEONA VIJANA WA KISLAMU WAKIJIANDIKISHA TUNISIA KWENDA KUPIGANA JIHADI SYRIA,lakini cha ajabu wote ni waislam na wanaenda kuwapiga wenzao waislamu kisa wao ni DHEHEBU TOFAUTI LA KIISLAM NA DHEHEBU LA RAISI ASAD.
madai yenu ya kuongoza nchi kwa sheria za kiislam tena kwa mabavu si jambo jema.
MIMI NAONA NI BORA MUENDESHE JUMUIYA ZENU ZOTE ZA KIISLAM KWA SHARIA LAKINI SIO NCHI.endesheni mambo yenu yote kwa sheria zenu lakini mambo ya wengine hayawahusu hata kidogo kama ambavyo sisi hayatuhusu mambo yenu.
NCHI HII HAINA HATI MILIKI YA KUENDESHWA KIKRISTO WALA KIISLAM.
wala hapakuwepo na hizi dini zinazotugombanisha.
KWANZA SEHEMU KUBWA YA WAUMINI WOTE WAMERITH DINI NA HAUKUWA UAMUZI WAO,mfano mimi leo ni mkristo kwa sababu nilizaliwa na wakristo,na ningekuwa muislamu kama ningezaliwa kwenye familia ya kiislamu.
HATA WEWE ULIYE MUISLAMU UNGEWEZA KUWA MKRISTO.
MARUFUKU CD ZA ROGO,UAMSHO NA ILUNGA.
Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar inayoongozwa na Dr Shein na Makamo wake Maalim Seif kupitia Jeshi la Polisi wamepiga marufuku rasmi cd zote za mawaidha ya Kiislam za UAMSHO,MUJAHID ABOUD ROGO na SHEIKH ILUNGA.
Hayo alisema ocd wazamani Murtad MKADAM ambae kwasasa yupo ofisi kuu ya polisi kitengo cha madawa ya kulevya Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif.
Alisema cd hizo za kiislam ni chanzo cha uvunifu wa amani hapa nchini na ndio zinazosababisha uchochezi baina ya dini ya ukiristo na uislam. Akifafanua alibainisha kuwa mpaka sasa washawakamata watu kadhaa wanaojihusisha kuuza cd hizo na kuwaonya wale wote ambao huweka kuzisikiliza watachukuliwa hatu kwani serikali ina mkono mrefu.
Akijibu baadhi ya maswali aliyoulizwa kwamba waliowakamata hawawaoni kuwa wamewadhulumu kwa kufanya biashara halali ya uzaji cd. alijibu cd zile za mawaidha ni Haram wala sio rizki ya halali kwa upande wa serekali kwani zinapelekea uvunjifu wa Amani katika nchi.
mi sometime huwa nabaki nacheka tu hizo mada zao mfu
Mi naona wasihangaike kuzipiga marufuku maana hayo mahubiri watu wenye akili timamu walishayapuuza, ni wajinga wahache sana wanaoweza kupotoshwa na hivyo vimahubiri, hata wakizipiga marufuku hawa wajinga wachache hayo mafundisho yameisha wakaa vichwani na nivigumu kuyafuta maana huo ndo uwezo wao na asiri yao, ndiyo haya matokeo tunayo yaona sasa, hapa Serikali ilishachelewa
Tusio waislamu tunaitwa kafiri.
LAKINI KUMBUKENI WOTE TUMETOKA KWA MUNGU.
Mnaweza kudhani nyinyi ni wamoja kumbe kuna SUNI NA SHIA.
JANA TU NIMEONA VIJANA WA KISLAMU WAKIJIANDIKISHA TUNISIA KWENDA KUPIGANA JIHADI SYRIA,lakini cha ajabu wote ni waislam na wanaenda kuwapiga wenzao waislamu kisa wao ni DHEHEBU TOFAUTI LA KIISLAM NA DHEHEBU LA RAISI ASAD.
madai yenu ya kuongoza nchi kwa sheria za kiislam tena kwa mabavu si jambo jema.
MIMI NAONA NI BORA MUENDESHE JUMUIYA ZENU ZOTE ZA KIISLAM KWA SHARIA LAKINI SIO NCHI.endesheni mambo yenu yote kwa sheria zenu lakini mambo ya wengine hayawahusu hata kidogo kama ambavyo sisi hayatuhusu mambo yenu.
NCHI HII HAINA HATI MILIKI YA KUENDESHWA KIKRISTO WALA KIISLAM.
wala hapakuwepo na hizi dini zinazotugombanisha.
KWANZA SEHEMU KUBWA YA WAUMINI WOTE WAMERITH DINI NA HAUKUWA UAMUZI WAO,mfano mimi leo ni mkristo kwa sababu nilizaliwa na wakristo,na ningekuwa muislamu kama ningezaliwa kwenye familia ya kiislamu.
HATA WEWE ULIYE MUISLAMU UNGEWEZA KUWA MKRISTO.
ni wanafiki sana hao viongozi wa zenji, walikuwa wapi hadi wanakuja kuamuka leo kuzisimamisha wakati the whole msg has been delivered kwa wananchi? unafiki gani huo? kama wanaamini moyoni mwao kuwa ni kitu kibaya, kwanini siku ile ya kwanza tu walipoziona hawakuzisimamisha? si walizinunua wakaangalia na watoto wao, leo wanaona aibu kwasababu cd hizohizo ndizo zillizosababisha mapadri wawili zanzibar kupigwa risasi, mmoja akafa mwingine kabaki na ulemavu, na ndio hao hao waliosababisha bomb arusha....unafiki gani wa wazenji hawa, hivi wana faida gani kwa Tanzania?
Tumezoea waislam wakitetea maslah yao huitwa magaidi wachochezi na majina mengi mabaya lkn kuzuia cd ni sawa na kuzuia jua kwa ungo kwani ukweli uko wazi madai ya wazanzibar ni ya kweli na haki yao wao kutetea maslah yao lkn tunasema kila siku serikali iliyo kuwepo inaöngozwa na mfumo kristo mbona km wanataka kuzuia uchochezi ile cd ya jiwe jeusi ya kwaya hawaja ifungia
umetoka ktk hoja ,,,,,,,,,,,,Tusio waislamu tunaitwa kafiri.
LAKINI KUMBUKENI WOTE TUMETOKA KWA MUNGU.
Mnaweza kudhani nyinyi ni wamoja kumbe kuna SUNI NA SHIA.
JANA TU NIMEONA VIJANA WA KISLAMU WAKIJIANDIKISHA TUNISIA KWENDA KUPIGANA JIHADI SYRIA,lakini cha ajabu wote ni waislam na wanaenda kuwapiga wenzao waislamu kisa wao ni DHEHEBU TOFAUTI LA KIISLAM NA DHEHEBU LA RAISI ASAD.
madai yenu ya kuongoza nchi kwa sheria za kiislam tena kwa mabavu si jambo jema.
MIMI NAONA NI BORA MUENDESHE JUMUIYA ZENU ZOTE ZA KIISLAM KWA SHARIA LAKINI SIO NCHI.endesheni mambo yenu yote kwa sheria zenu lakini mambo ya wengine hayawahusu hata kidogo kama ambavyo sisi hayatuhusu mambo yenu.
NCHI HII HAINA HATI MILIKI YA KUENDESHWA KIKRISTO WALA KIISLAM.
wala hapakuwepo na hizi dini zinazotugombanisha.
KWANZA SEHEMU KUBWA YA WAUMINI WOTE WAMERITH DINI NA HAUKUWA UAMUZI WAO,mfano mimi leo ni mkristo kwa sababu nilizaliwa na wakristo,na ningekuwa muislamu kama ningezaliwa kwenye familia ya kiislamu.
HATA WEWE ULIYE MUISLAMU UNGEWEZA KUWA MKRISTO.
Una maana jamaa ni wajinga? Hebu nifafanulie.... hata wakizipiga marufuku hawa wajinga wachache hayo mafundisho yameisha wakaa vichwani na nivigumu kuyafuta maana huo ndo uwezo wao na asiri yao, ndiyo haya matokeo tunayo yaona sasa, hapa Serikali ilishachelewa
Its too late.
Una maana jamaa ni wajinga? Hebu nifafanulie.
mimi nlisikia moja inayosema eti kodi ya vat ni michango inayochangishwa na serikali kwa ajili ya kusaidia vatican. Kweli kazi ipohizi cd bado zipo na zinauzwa hadahrani kabisa, hapa arusha maeneo ya cafe la aziz kuna msikiti unaitwa "masjid quba"
pale mlangoni kuna shelf limewekwa wanauza cd za uchochezi wa kidini muda wote. Jana nilipita hapo nikasikia kuna moja wameweka watu wanasikiliza, ilikuwa inazungumzia kuwa serikali imemtelekeza aboud jumbe na kumficha huko mjimwema kigamboni kwa sababu ni muislamu.