Marufuku CD za Rogo, Uamsho na Ilunga

Marufuku CD za Rogo, Uamsho na Ilunga

Status
Not open for further replies.
Tusio waislamu tunaitwa kafiri.
LAKINI KUMBUKENI WOTE TUMETOKA KWA MUNGU.
Mnaweza kudhani nyinyi ni wamoja kumbe kuna SUNI NA SHIA.
JANA TU NIMEONA VIJANA WA KISLAMU WAKIJIANDIKISHA TUNISIA KWENDA KUPIGANA JIHADI SYRIA,lakini cha ajabu wote ni waislam na wanaenda kuwapiga wenzao waislamu kisa wao ni DHEHEBU TOFAUTI LA KIISLAM NA DHEHEBU LA RAISI ASAD.
madai yenu ya kuongoza nchi kwa sheria za kiislam tena kwa mabavu si jambo jema.
MIMI NAONA NI BORA MUENDESHE JUMUIYA ZENU ZOTE ZA KIISLAM KWA SHARIA LAKINI SIO NCHI.endesheni mambo yenu yote kwa sheria zenu lakini mambo ya wengine hayawahusu hata kidogo kama ambavyo sisi hayatuhusu mambo yenu.
NCHI HII HAINA HATI MILIKI YA KUENDESHWA KIKRISTO WALA KIISLAM.
wala hapakuwepo na hizi dini zinazotugombanisha.
KWANZA SEHEMU KUBWA YA WAUMINI WOTE WAMERITH DINI NA HAUKUWA UAMUZI WAO,mfano mimi leo ni mkristo kwa sababu nilizaliwa na wakristo,na ningekuwa muislamu kama ningezaliwa kwenye familia ya kiislamu.
HATA WEWE ULIYE MUISLAMU UNGEWEZA KUWA MKRISTO.

Pole kwa hayo, Lakini ipo siku itakuja kujulikana siri iliyoko nyuma ya pazia, Hiyo ndio sababu ya haya yote.
Hizo CD hazichochei chochote belive or not.
 
Hamna lolote hapo walikua wapi,,,? Hizi cd zimetapakaa Congo,, south africa,,,zinauzwa ka babgum mpaka zimecross maborder mtawezaje kukzizuia nchini' ? Na mbaya mnazikamata kwa wamachinga badala ya kuzizuia kwa wazalishaji?[/QUO
JAMANI NAOMBA NIULIZE TATIZO NI
WAANGALIAJI..............................IN GOVERNMENT(OK)
CD AU MUUZAJI..................................IN GOVERNMENT(NOT OK)
BURNING MACHINE OR BURNER(HAFAHAMIKI)_..................................IN GOVERNMENTOK)
EDITING PROGRAMS OR EDITOR(HAFAHAMIKI)..................................IN GOVERNMENT(OK)
SHOUTING CAMERA OR SHOUTERS(HAAFAMIKI)..................................IN GOVERNMENT(OK)
ACTORS(ROGO,ILUNGA UAMSHO)..................................IN GOVERNMENT(OK)

AAAAAAAAAHHHHHHHHHHHHHHHHHHHH THAT IS NOT WAYOF SOLVING PROBLEM KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ILUNGA YUKO MTAANI WATU WAACHE KUUZA CD PELEKA MAAKANI THAT ILUNGA FIRST THEN PEOPLE THEY CAN UNDERSTAND U
NANI ANAKUMBUKA HOW MFALME JUA ANAVYO SOLVE TATIZO LA UKUTA KUANGUKA THE FUNDI ANASEMA ALIPITA ............... BINT ANASEMA FUNDI ALISHON A VIBAYA KWASABABU...................... THEN...........................................
 
hii inaweza kusaidia kupunguza tatizo lakini si kuondoa kabisa. na hii marufuku bora hiwe ya nchi nzima na ziwe cd za dini zotee
 
Ni propaganda tu! Bila kuwakamata na kuwafikisha mahakamani wale wote wanaosababisha uchochezi, hayo yatakuwa mazingaombwe na usanii wa mchana kweupe!
 
Halafu angeipiga marufuku na ile blog ya mzalendo.net, nayo imekaa kiuamsho hivi!
 
Tumezoea waislam wakitetea maslah yao huitwa magaidi wachochezi na majina mengi mabaya lkn kuzuia cd ni sawa na kuzuia jua kwa ungo kwani ukweli uko wazi madai ya wazanzibar ni ya kweli na haki yao wao kutetea maslah yao lkn tunasema kila siku serikali iliyo kuwepo inaöngozwa na mfumo kristo mbona km wanataka kuzuia uchochezi ile cd ya jiwe jeusi ya kwaya hawaja ifungia
mkuu nakubaliana na wewe kwamba wazanzibar na wengi ni wenzetu katika uislamu wana madai ya msingi, lakini kudai haki ya nchi kwa kutumia mwavuli wa dini ni hatari kwa mshikamano wa taifa letu, watanzania waungane kwa pamoja katika kudai maslahi yao bila kujali dini zao, rangi zao na makabila yao. Tukifanya hivyo tutafika tukiwa wamoja kama taifa!
 
Mfumo kristo ni nini? Mfumo wa damu umeitwa mfumo kwa sababu damu imeenea kote mwilini. Watu wa dini ya kikristo imehodhi asassi zote za nyeti za uongozi na mamlaka katika nchi hii, sehemu zote za nguvu/maamuzi ya dola zimeshikwa na wakristo tangu uongozi wa juu ikulu mpaka kiongozi wa mtaa uongozi wote umeshikwa na mfumo kristo. Na hao walioshika hizo nyadhifa wanazitumia kuuendeleza ukristo na kukandamiza uislamu.
 
Waislamu wamesalitiwa-Ilunga
Waislamu, wametakiwa kujipanga upya na kuendesha darsa za kuamshana kifikra ili kupata njia mbadala ya kujiletea maendeleo yao wenyewe. Hayo yamebainishwa na Sheikh Ilunga Hassan Kapungu, akiongea na Waislamu katika Msikiti wa Mtambani, Ijumaa ya wiki iliyopita, akizungumzia hali ya Waislamu wa Tanzania na changamoto za sasa. Alisema, maendeleo ya Waislamu yapo katika juhudi zao wenyewe, pamoja na kusalitiwa na hata kupata misukosuko ya mara kwa mara ndani na nje ya Uislamu. Sheikh Ilunga alifananisha hali ya Waislamu wa Tanzania na kisa cha Muamerika mmoja aliyepeleka kesi ya binti yake aliyebakwa katika Mahakama ya nchi hiyo, kisha ikamsaliti.

Alisema, kisa hicho kilieza kuwa wabakaji wale walihukumiwa kifungo cha siku 3, ambapo Muamerika huyo, hakuridhika na alihisi kutotendewa haki.
Alisema, Muamerika huyo aliyejulikana kwa jina la Amerigo Bonassera, aliiamini mno Serikali yake, Serikali ambayo, baada ya kujitolea mali zake na nafsi yake kuipigania na kuijenga dola yake ya Amerika, alitegemea itamtendea haki lakini badala yake ilimsaliti katika kutenda haki kwa mwanae. "Leo Waislamu Tanzania, tunasema kama alivyosema Amerigo Bonasera, Tanzania imewasaliti Waislamu kama Amerika ilivyomsaliti rai wake aliyejitolea, mali na nafsi yake lakini ilimsaliti, na kusababisha Amerigo, kuamua kuitafuta haki kwa njia ingine." Alisema.
Ilunga alisema ameleta kisa hicho kisha kuwataka Waislamu kujipanga na kuamshana kifikra kufatia historia yao nchini kuonyesha kuwa wazee wa Kiislamu walipigania Uhuru kwa kutoa mali na nafsi zao, wakitaraji kufaidi matunda ya Uhuru. Lakini badala yake tokea kupatika kwa Uhuru, Serikali zao kuanzia utawala wa awamu ya kwanza hadi sasa imekuwa haiwatendei haki Waislamu na kuonekana kama wao ni tatizo ndani ya nchi.

Akimzungumzia Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, kama kinara wa Serikali ya Tanganyika kisha Tanzania, kwa kuwasaliti Waislamu nchini, pamoja na kujitolea mali zao, muda wao na kumlea (Nyerere) Jijini Dar es Salaam, alisema mwaka 1952, kwa mara ya kwanza Nyerere, anakutana na wazee wa Dar es Salaam, akina Jumbe Tambaza, Haidari Mwinyimvua, Sheikh Suleiman Takadir, akitokea Sekondari ya Pugu. Alisema, Nyerere, wakati huo akisomesha Pugu Sekondari, alichukuliwa na Joseph Kasela Bantu, kisha kutambulishwa kwa wazee wa Dar es Salaam, kwa sababu Wazee hao muda huo, tayari walikuwa na Chama chao cha siasa, cha TAA.
"Viongozi hawa wa TAA, walimpokea kijana Nyerere, aliye Mkristo Mkatoliki, kutoka Butiama, Musoma. Tangu hapo Nyerere akawa mtoto wa Waislamu. Mshume Kiate, mbali ya kumlipa mshahara pia alitoa Nyumba yake nzima ili Nyerere akae." Alisema Ilunga.

Alisema, Nyerere mwaka 1985, alikiri moyoni kwamba, alikuwa Mkristo peke yake na hakuwa na nyumba Dar es Salaam, isipokuwa ni zile za Waislamu wa TAA. "Dossa Azizi, alinijia akaniambia Julius, wazee wanakuita, nimeenda nyumbani kwa Mzee Jumbe Tambaza, nikakuta kweli wazee wa Kiislamu watupu wananisubiri, wakaniambia tumekuita tufanye dua. Siku ya pili nafatwa tena naambiwa naitwa na Sheikh Ramia Bagamoyo." Alisema Sheikh Ilunga akinukuu maneno ya Julius Nyerere. Alisema, hutuba hiyo ambayo aliitoa Nyerere wakati anang'atuka, imefungiwa na wala hakuna chombo cha habari kinairejea hotuba hiyo, kama zinavyorejewa zingine, ikiwa ni njama za kuficha ukweli na kuharibu historia.

Sheikh Ilunga alisema kuwa, Mwalimu Nyerere akiwa Tabora, Waislamu wa mkoa huo akina Amina Bint Chande, walimpisha katika nyumba zao, huku akitumia gari ya Mzee Bilali Waikera, katika shughuli za kisiasa mkoani humo.
Alisema, maisha yote ya Nyerere na harakati zote za Uhuru, alizifanya akiwa na Waislamu, ambapo kwa Jijini Dar es Salaa, gari ya kwanza ya TANU, ilitolewa na Marehem Dossa Azizi, akimkabidhi Nyerere, kwa ajili ya harakati za Siasa.

"Muda wote wa kupigania Uhuru usalama wa Nyerere ulikuwa chini ya Waislamu, hata kudiriki kuingia naye Kanisani katika ibada zake ili kumlinda (maana Maaskofu walikuwa wakitumikia wakoloni)". Alisema Ilunga.
Sheikh Ilunga aliwataja Bw. Yusuph Chembela na Rashid Salum Mpunga, ambao walikuwa walinzi wake katika mikoa ya Kusini, na hata kudiriki kuingia nae Kanisani kumlinda, lakini alidai baada ya Uhuru, mwaka 1964, Nyerere, aliwatia kizuizini mwaka mmoja na miezi tisa. Alisema, Waislamu walitoa nafsi zao, mali zao yakiwemo majumba, magari kuzifanya kuwa mali za TANU, wakitegemea haki baada ya utawala wa mkoloni, lakini baada ya Uhuru na Nyerere kutengeneza Serikali, Waislamu wakasalitiwa.

Alisema, leo Waislamu hawajulikani hata kama wapo ndani ya nchini hii, kwani hata pale Serikali inapopanga mambo yake pamoja na kudai kuwa yenyewe haina dini, lakini pia haijali kuwa miongoni mwa makundi ya raia wake Waislamu wamo.

"Waislamu leo wanaishi kama raia wa daraja la nne katika nchi ambayo kwa sehemu kubwa wazee wao wamejitolea mali na nafsi zao, lakini Serikali haijali kama wapo na kuwa ni kikwazo cha kuyaendea mambo yao hususani ya kiibada." Alisema Ilunga. Akirejea hoja ya Askofu Gamanywa aliye ongea na kituo cha TBC 1, siku chache kabla ya sensa, kufuatia msimamo wa Waislamu kutaka kipengele cha dini kiwemo, alidai kuwa barabara zikijengwa watatumia Waislamu na Wakristo, Ilunga alisema hoja sio nani atatumia barabara hizo, bali hoja ni kwamba huduma hizo zimeelekezwa katika maeneo yapi tokea nchi hii ipate Uhuru wake. Alisema, tatizo si barabara za Waislamu au za Wakristo, bali tatizo barabara za lami na huduma bora za miundo mbinu kwa muda mrefu zipo katika mikoa yenye Wakristo wengi na hili lipo wazi halihitaji darubini.

Alisema, angalia mikoa ya Kigoma, Tabora na Kusini (Mtwara na Lindi), miaka yote hakuna barabara za uhakika, hakuna huduma bora kwa watu hao ambao wengi wao ni Waislamu, na huko kote, walikuwa bega kwa bega na Nyerere katika kupigania Uhuru, lakini alidai baada ya Uhuru wamesalitiwa.

Alisema, hivi sasa miongoni mwa walipa kodi wakubwa nchini, ni Waislamu, lakini kodi hiyo ikishalipwa, sehemu kubwa huenda kuimarisha Taasisi za Kikristo, pamoja na kuimarisha Mfumokristo
 
Nimependezwa kwa kiasi fulani na andiko lako. Mimi ni kati ya watu wanaochukia mabishano ya kiimani katika JF. Wajinga ndo wanaopenda kujibizana kiimani. Watu wengi wenye busara zao wanajua kuwa watu wanaobishana JF kwa mambo ya imani za dini ni wajinga na wenye uelewa finyo. Pia sidhani kama kuna Waislam wanaotaka SHARIA hapa Tanzania. Hata ikipigiwa kura na waislam zaidi ya 98% wataikataa. Wakiikubali watoto wao hata wao wenyewe ndo watakuwa wa kwanza kukatwa mikono wakipatikana na hatia ya kuiba. Pia watapigwa mawe hadi kufa pindi wakipatikana na kosa la uzinzi. Serikali ikiruhusu SHARIA itumike kwa Waislam tu kama wajinga wachache wanavyoipigia upatu, Maandamano ya Waislam kuipinga yatakuwa ya kila siku hadi kieleweke na kufutwa. Ndugu yangu hiyo sio dini ni siasa za kifara tu.
 
wewe sio muislam ndo mana unaropoka na mapovu yanakutoka
 
Kamanda kova hivi karibuni alisema kuwa serikali imezuia aina yoyote ya uchochezi wa kidini uwe kwa mihadhara ya wazi ama kanda za video au sauti au mitandao ya kijamii. Mimi naona kamanda kova hayuko serious na aliyoyasema wala hana mpango wa kuyafanyia kazi. Nashawishika kuamini hivyo kutokana na maadiko potofu tena ya uchochezi hatari ninayoshuhudia katika jf kila siku.ndo kusema hayaoni wala vijana wake hawamwambii. Pia naomba wenzetu wa jf watafute njia ya kuzuia andiko za kichochezi za kiimani ktk dini. Watu wajinga tena wachache wanatuharibia nchi yetu. Wanaharibu udugu wetu, umoja wetu na amani yetu. Chonde chonde jf salimisha taifa letu. Baneni andiko zote za kishenzi zisionekane kabisa. Mungu atakubariki kwa wema huo.
 
wewe sio muislam ndo mana unaropoka na mapovu yanakutoka
kujifanya wewe unajua dini zaidi ya wenzako sio vema, Allah anayajua mazuri au mabaya yako, nakushauri heshimu mawazo ya wenzako! Usijifanye kuwa msemaji wa uislamu na waislamu, jisemee mwenyewe!
 
Hizo cd ndo zilitumika kuhamasisha waumini wa dini yetu tukufu kumpigia kikwete kura na si kafiri! Nampongeza dr sheikhn kwa maamuzi yenye uzalendo kwa taifa letu!

lEO TENA NACHUKUA MUDA HUU KUWAKUMBUSHA WOTE KUWA KULINGANA NA IMANI YA KIKRISTO KUWA KAFIRI NI MTU YE YOTE YULE BWANA NA MWOKOZI WETU YESU KRISTO.

KWA MAANA KUNA WATU WALIOJIINGIZA KWA SIRI, WATU WALIOANDIKIWA TANGU ZAMANI HUKUMU HII, MAKAFIRI, WABADILIO NEEMA YA MUNGU WETU KUWA UFUSADI, NAO HUMKANA YEYE ALIYE MOLA, NA BWANA WETU YESU KRISTO. (YUDA 1:4) :israel:
 
MARUFUKU CD ZA ROGO,UAMSHO NA ILUNGA.

Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar inayoongozwa na Dr Shein na Makamo wake Maalim Seif kupitia Jeshi la Polisi wamepiga marufuku rasmi cd zote za mawaidha ya Kiislam za UAMSHO,MUJAHID ABOUD ROGO na SHEIKH ILUNGA.

Hayo alisema ocd wazamani Murtad MKADAM ambae kwasasa yupo ofisi kuu ya polisi kitengo cha madawa ya kulevya Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif.

Alisema cd hizo za kiislam ni chanzo cha uvunifu wa amani hapa nchini na ndio zinazosababisha uchochezi baina ya dini ya ukiristo na uislam. Akifafanua alibainisha kuwa mpaka sasa washawakamata watu kadhaa wanaojihusisha kuuza cd hizo na kuwaonya wale wote ambao huweka kuzisikiliza watachukuliwa hatu kwani serikali ina mkono mrefu.

Akijibu baadhi ya maswali aliyoulizwa kwamba waliowakamata hawawaoni kuwa wamewadhulumu kwa kufanya biashara halali ya uzaji cd. alijibu cd zile za mawaidha ni Haram wala sio rizki ya halali kwa upande wa serekali kwani zinapelekea uvunjifu wa Amani katika nchi.

Photo: SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA YA ZANZIBAR YAPIGA MARUFUKU CD ZA ROGO,UAMSHO NA ILUNGA.

Tukachangishe hela sasa tujenge shule na vyuo vikuu na misikiti. Usiwalazimishe watu kauamini cha kwako cha msingi wewe mwaga sera zako kisha wenyewe watakufuata si kusimama na kuanza kutukana ama kukosoa dini nyingine
 
Mfumo kristo ni nini? Mfumo wa damu umeitwa mfumo kwa sababu damu imeenea kote mwilini. Watu wa dini ya kikristo imehodhi asassi zote za nyeti za uongozi na mamlaka katika nchi hii, sehemu zote za nguvu/maamuzi ya dola zimeshikwa na wakristo tangu uongozi wa juu ikulu mpaka kiongozi wa mtaa uongozi wote umeshikwa na mfumo kristo. Na hao walioshika hizo nyadhifa wanazitumia kuuendeleza ukristo na kukandamiza uislamu.

Friday, December 21, 2012Waislamu wamesalitiwa-Ilunga
Na Bakari Mwakangwale
Waislamu, wametakiwa kujipanga upya na kuendesha darsa za kuamshana kifikra ili kupata njia mbadala ya kujiletea maendeleo yao wenyewe. Hayo yamebainishwa na Sheikh Ilunga Hassan Kapungu, akiongea na Waislamu katika Msikiti wa Mtambani, Ijumaa ya wiki iliyopita, akizungumzia hali ya Waislamu wa Tanzania na changamoto za sasa. Alisema, maendeleo ya Waislamu yapo katika juhudi zao wenyewe, pamoja na kusalitiwa na hata kupata misukosuko ya mara kwa mara ndani na nje ya Uislamu. Sheikh Ilunga alifananisha hali ya Waislamu wa Tanzania na kisa cha Muamerika mmoja aliyepeleka kesi ya binti yake aliyebakwa katika Mahakama ya nchi hiyo, kisha ikamsaliti.

Alisema, kisa hicho kilieza kuwa wabakaji wale walihukumiwa kifungo cha siku 3, ambapo Muamerika huyo, hakuridhika na alihisi kutotendewa haki.
Alisema, Muamerika huyo aliyejulikana kwa jina la Amerigo Bonassera, aliiamini mno Serikali yake, Serikali ambayo, baada ya kujitolea mali zake na nafsi yake kuipigania na kuijenga dola yake ya Amerika, alitegemea itamtendea haki lakini badala yake ilimsaliti katika kutenda haki kwa mwanae. "Leo Waislamu Tanzania, tunasema kama alivyosema Amerigo Bonasera, Tanzania imewasaliti Waislamu kama Amerika ilivyomsaliti rai wake aliyejitolea, mali na nafsi yake lakini ilimsaliti, na kusababisha Amerigo, kuamua kuitafuta haki kwa njia ingine." Alisema.
Ilunga alisema ameleta kisa hicho kisha kuwataka Waislamu kujipanga na kuamshana kifikra kufatia historia yao nchini kuonyesha kuwa wazee wa Kiislamu walipigania Uhuru kwa kutoa mali na nafsi zao, wakitaraji kufaidi matunda ya Uhuru. Lakini badala yake tokea kupatika kwa Uhuru, Serikali zao kuanzia utawala wa awamu ya kwanza hadi sasa imekuwa haiwatendei haki Waislamu na kuonekana kama wao ni tatizo ndani ya nchi.

Akimzungumzia Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, kama kinara wa Serikali ya Tanganyika kisha Tanzania, kwa kuwasaliti Waislamu nchini, pamoja na kujitolea mali zao, muda wao na kumlea (Nyerere) Jijini Dar es Salaam, alisema mwaka 1952, kwa mara ya kwanza Nyerere, anakutana na wazee wa Dar es Salaam, akina Jumbe Tambaza, Haidari Mwinyimvua, Sheikh Suleiman Takadir, akitokea Sekondari ya Pugu. Alisema, Nyerere, wakati huo akisomesha Pugu Sekondari, alichukuliwa na Joseph Kasela Bantu, kisha kutambulishwa kwa wazee wa Dar es Salaam, kwa sababu Wazee hao muda huo, tayari walikuwa na Chama chao cha siasa, cha TAA.
"Viongozi hawa wa TAA, walimpokea kijana Nyerere, aliye Mkristo Mkatoliki, kutoka Butiama, Musoma. Tangu hapo Nyerere akawa mtoto wa Waislamu. Mshume Kiate, mbali ya kumlipa mshahara pia alitoa Nyumba yake nzima ili Nyerere akae." Alisema Ilunga.

Alisema, Nyerere mwaka 1985, alikiri moyoni kwamba, alikuwa Mkristo peke yake na hakuwa na nyumba Dar es Salaam, isipokuwa ni zile za Waislamu wa TAA. "Dossa Azizi, alinijia akaniambia Julius, wazee wanakuita, nimeenda nyumbani kwa Mzee Jumbe Tambaza, nikakuta kweli wazee wa Kiislamu watupu wananisubiri, wakaniambia tumekuita tufanye dua. Siku ya pili nafatwa tena naambiwa naitwa na Sheikh Ramia Bagamoyo." Alisema Sheikh Ilunga akinukuu maneno ya Julius Nyerere. Alisema, hutuba hiyo ambayo aliitoa Nyerere wakati anang'atuka, imefungiwa na wala hakuna chombo cha habari kinairejea hotuba hiyo, kama zinavyorejewa zingine, ikiwa ni njama za kuficha ukweli na kuharibu historia.

Sheikh Ilunga alisema kuwa, Mwalimu Nyerere akiwa Tabora, Waislamu wa mkoa huo akina Amina Bint Chande, walimpisha katika nyumba zao, huku akitumia gari ya Mzee Bilali Waikera, katika shughuli za kisiasa mkoani humo.
Alisema, maisha yote ya Nyerere na harakati zote za Uhuru, alizifanya akiwa na Waislamu, ambapo kwa Jijini Dar es Salaa, gari ya kwanza ya TANU, ilitolewa na Marehem Dossa Azizi, akimkabidhi Nyerere, kwa ajili ya harakati za Siasa.

"Muda wote wa kupigania Uhuru usalama wa Nyerere ulikuwa chini ya Waislamu, hata kudiriki kuingia naye Kanisani katika ibada zake ili kumlinda (maana Maaskofu walikuwa wakitumikia wakoloni)". Alisema Ilunga.
Sheikh Ilunga aliwataja Bw. Yusuph Chembela na Rashid Salum Mpunga, ambao walikuwa walinzi wake katika mikoa ya Kusini, na hata kudiriki kuingia nae Kanisani kumlinda, lakini alidai baada ya Uhuru, mwaka 1964, Nyerere, aliwatia kizuizini mwaka mmoja na miezi tisa. Alisema, Waislamu walitoa nafsi zao, mali zao yakiwemo majumba, magari kuzifanya kuwa mali za TANU, wakitegemea haki baada ya utawala wa mkoloni, lakini baada ya Uhuru na Nyerere kutengeneza Serikali, Waislamu wakasalitiwa.

Alisema, leo Waislamu hawajulikani hata kama wapo ndani ya nchini hii, kwani hata pale Serikali inapopanga mambo yake pamoja na kudai kuwa yenyewe haina dini, lakini pia haijali kuwa miongoni mwa makundi ya raia wake Waislamu wamo.

"Waislamu leo wanaishi kama raia wa daraja la nne katika nchi ambayo kwa sehemu kubwa wazee wao wamejitolea mali na nafsi zao, lakini Serikali haijali kama wapo na kuwa ni kikwazo cha kuyaendea mambo yao hususani ya kiibada." Alisema Ilunga. Akirejea hoja ya Askofu Gamanywa aliye ongea na kituo cha TBC 1, siku chache kabla ya sensa, kufuatia msimamo wa Waislamu kutaka kipengele cha dini kiwemo, alidai kuwa barabara zikijengwa watatumia Waislamu na Wakristo, Ilunga alisema hoja sio nani atatumia barabara hizo, bali hoja ni kwamba huduma hizo zimeelekezwa katika maeneo yapi tokea nchi hii ipate Uhuru wake. Alisema, tatizo si barabara za Waislamu au za Wakristo, bali tatizo barabara za lami na huduma bora za miundo mbinu kwa muda mrefu zipo katika mikoa yenye Wakristo wengi na hili lipo wazi halihitaji darubini.

Alisema, angalia mikoa ya Kigoma, Tabora na Kusini (Mtwara na Lindi), miaka yote hakuna barabara za uhakika, hakuna huduma bora kwa watu hao ambao wengi wao ni Waislamu, na huko kote, walikuwa bega kwa bega na Nyerere katika kupigania Uhuru, lakini alidai baada ya Uhuru wamesalitiwa.

Alisema, hivi sasa miongoni mwa walipa kodi wakubwa nchini, ni Waislamu, lakini kodi hiyo ikishalipwa, sehemu kubwa huenda kuimarisha Taasisi za Kikristo, pamoja na kuimarisha Mfumokristo

Source: AnNuur
Posted by Admin at 8:39 PM Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to FacebookNo comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Zilizopendwa sana
Kitabu-Nyerere, Kanisa Katoliki na Uislam"Dola na Tatizo la udini Tanzania"
Mwalimu Julius K. Nyerere, Kanisa Katoliki na Uislam Dola na Tatizo la Udini Tanzania By Mohamed Said Utangulizi Baada ya k...
Aliyeanzisha Udini Tanzania ni Nyerere
Aliyeanzisha Udini Tanzania ni Nyerere Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengw...
Tujukumbushe-Waraka Maalum Kwa Wakristo Zanzibar
Ndugu zetu, Wazee wetu, Assalaam Alaaykum, UMOJA, UHURU, UADILIFU Waraka Maalum Kwa Wakristo Za...
Mauaji ya mwaka 2001-Zanzibar
Sehemu ya kwanza UTANGULIZI Utangulizi wetu unahusu mambo ya kihistoria kwa ufupi. Tunatanguliza historia kutokana na umuhimu wake wa...
Waislamu wamesalitiwa-Ilunga
Na Bakari Mwakangwale Waislamu, wametakiwa kujipanga upya na kuendesha darsa za kuamshana kifikra ili kupata njia mbadala ya kujiletea maend...
Islamic Movement and Christian Hegemony
Islamic Movement and Christian Hegemony The Rise of Muslim Militancy in Tanzania 1970 - 2000 Mohamed Said Contents Prologue ...
Rais Aboud Jumbe: Ilikuwaje chama kikampindua?PART 1
WAKATI alipokubali kuunganisha chama chake cha Afro-Shirazi (ASP) na chama cha Tanganyika African Union, Oktoba 1976, Rais wa Zanzibar, Al...
Mwembechai Killings
CHAPTER ONE Introduction Mwembechai killings: "Difficult problems, Easy answers" In every man's past there are things whic...
KITABU-SHEIKH HASSAN B. AMEIR ASH-SHIRAZI (1880-1979): HIS CONTRIBUTION TO ISLAMIC EDUCATION IN EAST AFRICA
SHEIKH HASSAN B. AMEIR ASH-SHIRAZI (1880-1979): HIS CONTRIBUTION TO ISLAMIC EDUCATION IN EAST AFRICA. Dr. Issa Haj.i Ziddy, University...
Tamko la Tanzania Christian Forum (TCF)
TANZANIA CHRISTIAN FORUM (TCF) MKUTANO MKUU WA NNE WA JUKWAA LA WAKRISTO TANZANIA (TCF) TAMKO RASMI "ATUKUZWE MUNGU JUU MBINGUNI, NA ...
Blog Archive
► 2013 (1)
► April (1)
▼ 2012 (114)
▼ December (12)
Tamko la Tanzania Christian Forum (TCF)
Matatizo ya Waislamu ni historia ya Kanisa kuishin...
Dhana ya Udugu wa kiislamu
Tufuate Uislamu kwa vitendo na siyo kwa maneno
HAKI YA KUABUDU MASHULENI
Kwa nini walengwa ni Marekani?
Tujikwamue na janga la utwaghuti
Nini Jihad na nani Mujahidina?
Jinsi Nyerere alivyotawala kimabavu
Salim, Butiku wakiri kuwepo udini nchini
Waislamu wamesalitiwa-Ilunga
Dola inavyolisaidia Kanisa kuuangamiza Uislamu
► October (3)
► August (6)
► July (10)
► June (9)
► May (5)
► April (12)
► February (57)
Wafuatiliaji

Followers

Ethereal template. Powered by Blogger.

Report photo
 
Bora muungano UFE.

Kwani sasa nchi siku zote inaongozwa na sharia na sio maneno ya wanasiasa. Polisi kwa mujibu wa Rules of Law kazi zao kusimamia sharia zilizotungwa na Bunge/ BLW na mahakama ni kutafsiri Sharia.

Sasa huyu Polisi ameytoa wapi mamlaka ya kupiga marufuku kitu badala ya kuwakamata wahusika.

sasa yale yale mfumo kristu upo njiani kuingia Znz.

Jiulizeni mbona mpaka leo taarifa iliyotolewa na FBI kuhusu kifo cha padri haijatolewa?

Allah inusuru Znz na mfumo huo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom