marufuku binadamu yoyote kufanya mapenzi

Ni mtazamo wangu, hebu naomba maoni yenu wake kwa waume, just imagine ikatokea leo kufanya ngono kati ya mwanaume na mwanamke kukapigwa marufuku, wewe binafsi unafikiri nani kati ya mwanamke na mwanaume atakuwa wa kwanza kuleta upinzani dhidi ya marufuku hiyooo???

wewe ndiyo utakuwa wa kwanza maana umeitanguliza sana ngono katika maisha yako ndiyo maana unaona bila ngono huwezi kuishi....umeumbwa ili umwabudu Mungu. Hilo likizuiwa, maisha yangu yataharibika.
 
Back
Top Bottom