Marudio ya kongamano la katiba now on ITV

Ibra Mo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
793
102
Kwa wale ambao hawakuona kongamano la katiba au wangependa kutazama tena watune ITV sasa ivi.
 
Ahgggh, tanescooo! I hate ccm na nikakati mbuzi. Get lost!
Pole bana! Mie zamu yangu ya kunyimwa umeme na hawa vibaraka wa RA ilikuwa jana sasa naagngalia. Ulimwengu anaongea vitu vya msingi sana na ndadhani CCM wana msikiliza na anawaponda sana police kwa kuingilia maandamano. Anasema polisi ni watumishi wa wananchi na lazima katiba mpya iseme hivyo.
 
Ulimwengu anaua bendi anasema mnateua wakuu wa wilaya wachumba zetu!
 
Back
Top Bottom