Marubani 1000 wa jeshi la Israel wasaini waraka wa kupinga vita.

Taarifa zako nimeziona na mimi nimekuwekea kiambatanisho Naona mimi nakazia ukweli lakini wewe bado unaendekeza TAQIYYAH!!
Mimi nimekwambia wewe husomi au tuseme unasoma lakini hufahamu,
Hebu angalia hiyo paragrafu katika hiyo link uliyoniwekea mwenyewe,

Major General (ret.) Nimrod Sheffer, one of those who organized the letter, strongly reacted against Bar's decision. "I am surprised that the commander is threatening these people, who have served hundreds of days during these last eighteen months," he said. "Our call is to the government, not the air force."
 
Je Una shida kuyavunja Mayai?
 
akili zako sijui zikoje.
Wastaafu wanaheshimika mawazo yao.Na umeambiwa wako ambao ndio warushaji sasa hivi.Bado tu hujaona athari zoo
Netanyahu kashtushwa na huo waraka wewe unaona ni sawa tu.
Netanyahu atatengeneza uasi ndni
 
Back
Top Bottom