Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,488
- 16,646
Ni uhakika kuwa nguvu kubwa ya jeshi la Israel ipo kwenye mapigano ya angani kwa kutumia ndege za teknolojia za kisiasa kuwapiga inaoamini ni maadui zake.
Jumla ya marubani wa ndege hizo wengi wao wakiwa ni wastaafu wamesaini waraka kupinga kuendelea kwa vita ambavyo wameona havijafikia malengo.
Marubani hao wamesema mkazo uwekwe kwenye kuwapata mateka waliobaki na kuokoa maisha ya askari wao pamoja na raia kwa ujumla hata iwapo kufanya hivyo itabibidi kuwaachia Hamas kuendelea kuwepo.
Walichokiona marubani hao wamesema ni kuwekwa mbele matakwa binafsi na ya kisiasa ya Benjamin Netanyahu na kundi lake la kihafidhina.
Akizungumzia waraka huo waziri mkuu huyo ameshutumu kundi hilo kwamba ni la watu wachache wenye nia ya kuipindua serikali yake,na ameapa kupambana nao hasa wale ambao ni sehemu ya askari walio kazini muda huu.
Idadi ya askari imeongezeka wameungwa mkono na madakari wa kijeshi na leo askari wa kikosi maalumu cha Golani
Jumla ya marubani wa ndege hizo wengi wao wakiwa ni wastaafu wamesaini waraka kupinga kuendelea kwa vita ambavyo wameona havijafikia malengo.
Marubani hao wamesema mkazo uwekwe kwenye kuwapata mateka waliobaki na kuokoa maisha ya askari wao pamoja na raia kwa ujumla hata iwapo kufanya hivyo itabibidi kuwaachia Hamas kuendelea kuwepo.
Walichokiona marubani hao wamesema ni kuwekwa mbele matakwa binafsi na ya kisiasa ya Benjamin Netanyahu na kundi lake la kihafidhina.
Akizungumzia waraka huo waziri mkuu huyo ameshutumu kundi hilo kwamba ni la watu wachache wenye nia ya kuipindua serikali yake,na ameapa kupambana nao hasa wale ambao ni sehemu ya askari walio kazini muda huu.
Israeli Air Force veterans criticize Gaza war resumption
Updates ya leo 15April 2025Idadi ya askari imeongezeka wameungwa mkono na madakari wa kijeshi na leo askari wa kikosi maalumu cha Golani