Tetesi: Martin Shigella Katibu mkuu CCM, Mwanri kuwa RC Tanga

Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro.

Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea Shigella anakijua sana chama chetu.

Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao anawafikiria, mmoja ni Mwalimu UDSM na Mwingine yuko Wizara ya Ujenzi.

Majina ya Membe na Chenge hayo ndo hayakufikiriwa kabisa.

Jina la Makongoro limekuwepo na kulijadili sana take this also.

Kwa kifupi majina haya ndo yanatoa Katibu
1. Martin Shigella
2. Harrison Mwakyembe
3. Asha Migiro
4. Mwanazuoni wa UDSM
5. Makongoro NYERERE
6. Emmanuel Nchimbi

Nafasi ya Shigella anaiziba Aggrey Mwanri, akikataa Mwegelo ameula

Britanicca
Kwanini kwa sasa tusimpe mwanamama
 
Emmanuel Nchimbi ndiyo bora na ana sifa zote ila hawezi kupewa. Ninarudia hawezi kupewa. Yaani anasema hivi hawezi kupewa. Historia inanipeleka 2015. Sina urafiki na yoyote ambaye alitaka niwe Mimi. Ninarudia sina unafiki huo na mifano ipo. Shinikizo au wengi wake siyo miluzi ya sasa hivyo Mimi nikishasema nimesema. Narudia nikishasema nimesema.
 
Hizi sio zama za kiku boy unatabiri kilakitu,sasahv tuna jiwe kwelikweli anafikiri mwenyewe anaamua hata makamu au waziri mkuu anakuwa surprised!! Jiulize we nani mpaka uanze kujua??
Ila mkuu angempa makonda ubalozi hasa South Africa a promote mziki na biashara na akazuie madawa ubalozi wetu kule ametulia sana
Huyo Makonda asahau kwani amesha mtia hasara baba ya kuharibu mission ua kummaliza Lisu
 
Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro.

Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea Shigella anakijua sana chama chetu.

Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao anawafikiria, mmoja ni Mwalimu UDSM na Mwingine yuko Wizara ya Ujenzi.

Majina ya Membe na Chenge hayo ndo hayakufikiriwa kabisa.

Jina la Makongoro limekuwepo na kulijadili sana take this also.

Kwa kifupi majina haya ndo yanatoa Katibu
1. Martin Shigella
2. Harrison Mwakyembe
3. Asha Migiro
4. Mwanazuoni wa UDSM
5. Makongoro NYERERE
6. Emmanuel Nchimbi

Nafasi ya Shigella anaiziba Aggrey Mwanri, akikataa Mwegelo ameula

Britanicca
Mi naona pole pole apewe hiyo nafasi alafu nafasi ya pole pole kama nape atahurumiwa anaweza kava hapo kidogo ccm nitaona iko vizuri
 
Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro.

Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea Shigella anakijua sana chama chetu.

Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao anawafikiria, mmoja ni Mwalimu UDSM na Mwingine yuko Wizara ya Ujenzi.

Majina ya Membe na Chenge hayo ndo hayakufikiriwa kabisa.

Jina la Makongoro limekuwepo na kulijadili sana take this also.

Kwa kifupi majina haya ndo yanatoa Katibu
1. Martin Shigella
2. Harrison Mwakyembe
3. Asha Migiro
4. Mwanazuoni wa UDSM
5. Makongoro NYERERE
6. Emmanuel Nchimbi

Nafasi ya Shigella anaiziba Aggrey Mwanri, akikataa Mwegelo ameula

Britanicca
Mwanasiasa mwenye uwezo Wasira ktk hii nafasi kumbuka enzi Dr Slaa alivyokuwa anajibu hoja
 
Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro.

Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea Shigella anakijua sana chama chetu.

Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao anawafikiria, mmoja ni Mwalimu UDSM na Mwingine yuko Wizara ya Ujenzi.

Majina ya Membe na Chenge hayo ndo hayakufikiriwa kabisa.

Jina la Makongoro limekuwepo na kulijadili sana take this also.

Kwa kifupi majina haya ndo yanatoa Katibu
1. Martin Shigella
2. Harrison Mwakyembe
3. Asha Migiro
4. Mwanazuoni wa UDSM
5. Makongoro NYERERE
6. Emmanuel Nchimbi

Nafasi ya Shigella anaiziba Aggrey Mwanri, akikataa Mwegelo ameula

Britanicca
Hivi Shiggella aliwahi kuisaidia ccm wapi na kwenye Lipi ?
 
Hii itasaidia PAYE yangu (More than 34%) Kupunguzawa ?
 
Mbona mimi kwenye hayo majina simo

ingekua enzi za jk sawa mambo yalikua predictable
 
Majina 2 3 5 ni age ya mkiti sidhani sana atataka waliopita uvccm na chamani

1. Shigela + ex Km uvccm
2, sixtus mapunda- ex Km uvccm
3. Emanuel nchimbi+ ex Mkit uvccm Taifa
4 Amos makala- ex Km uvccm na mwekahazina
5 Roderick mpogolo naibu sasa
6 silima - ktb organizesheni
SIXTUS MTOE ANA FAILI LAKE TAKUKURU ANAWEZA FIKISHWA MAHAKAMANI WAKATI WOWOTE NDIO MAANA HATA JINA LAKE LIKAKATWA PAMOJA NA KUONGOZA KWENYE KURA ZA MAONI UBUNGE MBINGA
 
Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro.

Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea Shigella anakijua sana chama chetu.

Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao anawafikiria, mmoja ni Mwalimu UDSM na Mwingine yuko Wizara ya Ujenzi.

Majina ya Membe na Chenge hayo ndo hayakufikiriwa kabisa.

Jina la Makongoro limekuwepo na kulijadili sana take this also.

Kwa kifupi majina haya ndo yanatoa Katibu
1. Martin Shigella
2. Harrison Mwakyembe
3. Asha Migiro
4. Mwanazuoni wa UDSM
5. Makongoro NYERERE
6. Emmanuel Nchimbi

Nafasi ya Shigella anaiziba Aggrey Mwanri, akikataa Mwegelo ameula

Britanicca
Ni wakati sasa kwa Pascal Mayalla kuangaliwa kwa jicho la huruma.
Samia ikikupendeza huyu kijana atakusaidia kwenye mambo flani hivi😎
 
Back
Top Bottom