amejibinua ndo maana....inaonekana
vizuri zoom to 100%
Inaonekana ww bado una ile dhana ya kizamani kwmba mtu gay.lazima aonyeshe.....
Cku izi kuna masilent killer closed na tena wameoa utaamini tu cku ukimfuma anapigwa tofaut na apo sahau...tena huwa wanaapa.na kupinga vitendo ivyo.
Martin Kadinda adinda!! angalia
hapo surualini pametuna, gloves za gym, pause ya
ki kung fu.....madai ya si rizki si kweli
Ntake radhi kaka napenda nihukumiwe kwa dhambi zingine siyo hiyo!Nasikia hata humu jf kuna watusuaji kibao....
kakakiiza siwezi kusema kua na ww pia mtusuaji lakini
kwa muonekano wako jinsi ulivyo
naona ulikuwa unatafuta gia ya kuingilia ili mwisho wa siku utafute contact zakeMartin Kadinda ni kabila gani??