Martin Kadinda

Martin Kadinda

caught in the act kwa mfano
Kwa kifupi navyoona mimi watu wakifanya consensual sex ina kuwa ngumu kuprove in court lakini mmoja akilazimishwa inakuwa rahisi iko kesi moja niliiona kwenye vyombo vya habari mwanaume mmoja aliingia matatani kwa kumfanyia oral sex
kijana mdogo wa kiume na hii iliwezekana kwa sababu yule kijana alitoa taarifa.
 
Back
Top Bottom