Martha Mwaipaja nakupenda sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Martha Mwaipaja nakupenda sana

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by yutong, Jun 26, 2011.

 1. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dada martha mwaipaja, jamani nakupenda sana dada, napenda maungo yako, kiuno chako, kifua chako kwa kweli Mungu ameumba jamani atakayeniweza kumpata ntamuzawadia Digital Camera nzuri sana.

  Nisaidieni wana JF.
   
 2. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Nenda kanisani anakosali, uwe member wa kudumu, kisha jaribu bahati. Si kazi ya siku moja. Kama hilo huwezi, nenda tena kanisani ukapungwe mapepo ya ngono yakutoke.
   
 3. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  anasali wapi kaka? sio mapepo ya ngono haya naomba ufute kauli yako inamaana watu wote waliooa na kuolewa wanamapepo ya ngono? kama hivyo basi mapadri na maaskofu katoliki ndo hawana mapepo ya ngono

   
 4. d

  dropingcoco Senior Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani huyo Martha ni nani?
   
 5. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kaombe kujiunga na kwaya kanisani kwao
   
 6. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Who is she?
   
 7. l

  ladywho Senior Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hahaha! Washauri wengne bhana! Ni noumer.
   
 8. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wengine bwana.....Umejuaje ana kiuno kizuri? mkuu wewe unatamani sio kupenda...Umetamani anavyoonekana maungo yake, kifua chake, makalio yake na sio ndani....
   
 9. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,277
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Kumbe ni mpendwa. Kazi unayo; huyo mtarajiwa wake mpaka Mungu amuoteshe. Sasa kama wewe ni wa mataifa, forget it kwani Mungu atamuotesha mpendwa mwenzie. Na wadada wazuri walivyo wachache kwenye makanisa ya wapendwa, kila mtu utakuta anatuma maombi!!!

  Ila kipaji anacho na mimi nimemkubali. Nyimbo zimeenda shule.
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kupendana nio imekua mwendo wa wanaJf, nami nitampenda wangu sikitambo!
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  weka picha tumuone ..
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,507
  Trophy Points: 280
  Kupenda ni upofu.
   
 14. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Kanisa la Ufufuo na Uzima-Glory of Christ Tanzania Church (GCTC) Kawe.............Haya sasa, ila mimi simo!
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Jun 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kama una nia njema basi nakuombea umpate!kama nia njema ushindwe na ulegee!!
   
 16. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  mimi nimekaa nae mtaa mmoja pale buguruni kwa mnyamani kipindi bado kabisa ajatoka na shemeji yangu amezaa na dada yake marehemu mtoto anaitwa gerald geofrey ndendya.
   
 17. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Hivyo Vigezo ulivyotumia!!! Mh! sijaelewa Fresh,

  Anyway Dully Sykes Alishaimba Nilipokuwa Siimbi Hamkunipa Hi Na Sasa naimba mnanipa hi!
  Hi Baby Hi Napata Tabasamu pale mnaponipa hi!

  Nikuulize Ulimpenda alipokuwa Haimbi?
   
 18. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unaleta utoto humu sasa.
   
Loading...