Belinda na Masanja wa CRDB!
Hawa wakioana na wakipata mtoto, huyo mtoto atakuwa chautundu on steroids!
NI muunganiko wa herufi mbili BM - Belinda Masanja.
Hahahahhaahhahaaa yaani simpatii picha mtoto atavokuwa mtundu halafu mjanja kumzidi baba yake na mama yake......
Nawaza siku BM na mtoto wao wanacheza hide and seek, mtoto anajificha sehemu hiyo wanatafuta nyumba nzima hawamuoni...... kumbe yuko nyuma ya kabati katuliaaa tuliii anacheza game, keshasahau kama anacheza hide and seek na baba na mama yake hadi wazazi wanapiga simu 119 kuomba msaada mtoto kapotea baadae kanatoka nyuma ya kabati, mammy am hungry can I have some snack please 😌 looh.... wazazi hoii yeye hana hata habari.
Belinda Masanja # Upanga Restaurant.
Pole sanaUmenikumbusha mbali na kunitonesha kovu la moyo wangu!!
Shukrani mkuu vitu vya kawaida hvPole sana
Haaaaa haaaa umenikumbusha kuna siku nyumbani katoto kanatambaa ghafula haonekani, tukaanza kutafuta kila kitu kikasimama, pembeni ya mlango kulikuwa mkeka umesimamishwa baada ya kuchoka kutafuta mtu 1 kauvuta ili akalie, laa jamani mtoto katulia kama vile chupa ya chai hana hata habari huku mama yake alisha anza kulia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NI muunganiko wa herufi mbili BM - Belinda Masanja.
Hahahahhaahhahaaa yaani simpatii picha mtoto atavokuwa mtundu halafu mjanja kumzidi baba yake na mama yake......
Nawaza siku BM na mtoto wao wanacheza hide and seek, mtoto anajificha sehemu hiyo wanatafuta nyumba nzima hawamuoni...... kumbe yuko nyuma ya kabati katuliaaa tuliii anacheza game, keshasahau kama anacheza hide and seek na baba na mama yake hadi wazazi wanapiga simu 119 kuomba msaada mtoto kapotea baadae kanatoka nyuma ya kabati, mammy am hungry can I have some snack please [emoji18] looh.... wazazi hoii yeye hana hata habari.
Belinda Masanja # Upanga Restaurant.
Vipuuzie tu ndiyo changamoto hizo, songambele maisha yenyewe mafupiShukrani mkuu vitu vya kawaida hv
Rafiki muache handsome boy wetuPale sukari ya warembo wa JF inapotoa tamko![emoji16][emoji16][emoji16]
HahahahaHaaaaa haaaa umenikumbusha kuna siku nyumbani katoto kanatambaa ghafula haonekani, tukaanza kutafuta kila kitu kikasimama, pembeni ya mlango kulikuwa mkeka umesimamishwa baada ya kuchoka kutafuta mtu 1 kauvuta ili akalie, laa jamani mtoto katulia kama vile chupa ya chai hana hata habari huku mama yake alisha anza kulia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaaaa!!
Umenichekesha kweli!!
I can see the kid doing that.
Haaaaa haaaa umenikumbusha kuna siku nyumbani katoto kanatambaa ghafula haonekani, tukaanza kutafuta kila kitu kikasimama, pembeni ya mlango kulikuwa mkeka umesimamishwa baada ya kuchoka kutafuta mtu 1 kauvuta ili akalie, laa jamani mtoto katulia kama vile chupa ya chai hana hata habari huku mama yake alisha anza kulia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me ningependa kuuliza ..mbona wazazi (wazee)wetu wengi walikuwa wanasafiri vijiji vya mbali kwenda tafuta familia ambayo wanaodhesha binti yao
Na kweli mtu anamchukua binti ndoa inaanza hadi anniversary
So urafiki ulitoka wapi kabla?
Yaani hali ya hewa ilibadilika dada kaja kutoka kwake kusalimia hivyo nyumbani pame changamka duu kila mtu kachanganyikiwa ingekuwa sasa watu wasiojulikana tayari wamesingiziwa ilikuwa taflaniWatoto raha sana, wanaangalia kitu wakiwa hawana habari shida au hofu walioisababisha kwa wazazi wao heheehee.
Siku hizi unaweza vumilia mwishowe ukaja katwa kila wajinga mwenzangu, manyanyaso yakizidi nikukimbia tuNahisi zamani mapenzi yalikuja kwa kuamini mzazi hawezi nichagulia galasha na soba jeuri ya kukataa. Hivo ndoa zilidumu maana hata kama mume hatompenda mke, mke alivumilia kulea familia maana ilikuwa aibu kurudi kwao ameshindwa ndoa.
Binti wa siku hizi baba na mama wanamwambia binti yao, ukiona maisha yamekushinda rudi nyumbani bado wazazi wako tunakuthamini tunakupenda na tutakupokea. Ndoa haziwezi kudumu....
Yaani ni ukweli wengine tulikuwa tunajaza maji wenye kupika wengine ghafulaHahahaha
Ulweso ebu niache napaliwa mwenzio
Oa kwanza!Kwani marafiki huwa hawavurugani? I dont think so......
Inategemea ni urafiki wa aje, kuna me anatongoza bila utani na anaonyeshaNdoa bila urafiki lazima mmoja aumie.