Marry your friend

Marry your friend

Nahisi zamani mapenzi yalikuja kwa kuamini mzazi hawezi nichagulia galasha na soba jeuri ya kukataa. Hivo ndoa zilidumu maana hata kama mume hatompenda mke, mke alivumilia kulea familia maana ilikuwa aibu kurudi kwao ameshindwa ndoa.

Binti wa siku hizi baba na mama wanamwambia binti yao, ukiona maisha yamekushinda rudi nyumbani bado wazazi wako tunakuthamini tunakupenda na tutakupokea. Ndoa haziwezi kudumu....

Basi tuseme moja ya vitu vinavyochangia ndoa kutokudumu ni wazazi ?
 
Basi tuseme moja ya vitu vinavyochangia ndoa kutokudumu ni wazazi ?

Ambao hata wao ndoa zao hazikudumu au zimedumu kimagumashi....

Kuna kizazi kimoja wapo kilikengeuka na kuacha kufanya wajibu wake....
 
Back
Top Bottom