Marry Hunbig's bust

Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu kama wewe ulivyolipuliwa celebrity kona wapi Kevin Ambrose

Nyani Ngabu=dume
Kevin Ambrose=dume

Marry Hunbig=jike (at least ndivyo alivyojitambulisha hapa tena akajiita dada wa Kinyakyusa)
MzunguMndali=njemba

So nadhani you get my point.....

Isitoshe sikuwa najificha na ninaweza hata kukuambia majina yangu mengine hapa na kuna wakati niliyaorodhesha yote ninayoyakumbuka.

Ngoja nijaribu tena kuyaorodhesha yale ninayoyakumbuka

Bwa'Nchuchu
Jini Mapembe
Via Mobile
BTK
Jasiri
Kevin Ambrose
Ng'waninyami
Omega Psi Phi
Ally wa Kitaa
Kibadiru
Bwana Sadiki

Heck ni mengi mno siwezi kuyakumbuka yote.

Lakini kamwe mimi sijawahi kujiandikisha kwa jina la kike halafu nikawa naanzisha nyuzi na kujijibu mwenyewe kwa kutumia ID ya jinsia nyingine. Hilo sijawahi.

Na pia, katika IDs zangu zingine wala huwaga sijifichi mimi. Kama mtu una kipunje kiduchu cha akili basi wala haitakuchukua muda kugundua kuwa ni mimi katika jina jingine.

Hivyo kusema kwamba nililipuliwa kwa jina la Kevin Ambrose wala si sahihi maana wenye akili walijua tokea mwanza KA ni nani.

So, much to your chagrin....
 
Nimekumbuka majina yangu mengine....

Tigger
FLY
Mbehi O Njemu
Goon

Too many to mention. Lakini kamwe huwaga sijifichi mimi. Mtindo wangu wa uandishi ni ule ule (ingawa si kwamba siwezi kuubadilisha kwa nia ya kuhadaa watu)
 
Hivi maana ya 'kunyali' ni ipi. Nimemsikia mtu akisema tena.
sorry about your papaa. Time heals the wounds. Treasure the good memories.
Nilikuwa namnyali sana ndo akaamua kuja na gia hiyo sijui alijua nitamgwaya!



Ujanja wote huu niwe na multiple id? That will never ever happen aisee. I am myself. Holy, bitchy, crazy, mibhange, freaky you name it! My papaa knows im a bit crazy, so why care! Hofu yangu iko kwako, lol
kuna siku wataunganisha King'asti, Maziwa ya Mgando na Bishanga

patakuwa hapatoshi
 

And the funny side of the story is that he blew his cover on his own accord..!!!
 
And the funny side of the story is that he blew his cover on his own accord..!!!

Well, yesterday is history, tomorrow is a mystery. So it is what it is and life goes on.
 
Uhadae ili iweje?

Haimchukui mtu dakika 2 kugundua NN kaja kivingine

Nimekumbuka majina yangu mengine....

Tigger
FLY
Mbehi O Njemu
Goon

Too many to mention. Lakini kamwe huwaga sijifichi mimi. Mtindo wangu wa uandishi ni ule ule (ingawa si kwamba siwezi kuubadilisha kwa nia ya kuhadaa watu)
 
He he he he, never been holy before, why now?

Mmmh, uzuri mie sijifichi nikija kivingine
Haitakuwa breking nyuzi

Ujanja wote huu niwe na multiple id? That will never ever happen aisee. I am myself. Holy, bitchy, crazy, mibhange, freaky you name it! My papaa knows im a bit crazy, so why care! Hofu yangu iko kwako, lol
 
Nimekumbuka majina yangu mengine....

Tigger
FLY
Mbehi O Njemu
Goon

Too many to mention. Lakini kamwe huwaga sijifichi mimi. Mtindo wangu wa uandishi ni ule ule (ingawa si kwamba siwezi kuubadilisha kwa nia ya kuhadaa watu)

duuh wageni tuna kazi kucop humu ndani, kumbe ndo bwanchuhu, sasa inatokeaje unachukua jingine au ndo bann
 
Ha ha ha we mzee kiboko na ile id ya bi ashura ya nani?
Umenichekesha sana lo
 
Hivi maana ya 'kunyali' ni ipi. Nimemsikia mtu akisema tena. sorry about your papaa. Time heals the wounds. Treasure the good memories. l
Kuna wengine wanasemaga kunyali ni kuogopa ila kwa sie tulivyozoea ni kama kumpinga mtu kunakoambatana na dharau (ndo nilichomaaanisha kwenye post yangu though sijui kwenye kamusi). BTW, Asante my dear . . . . . it is what it is!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…