PRECIOUSDOE
Senior Member
- Feb 3, 2009
- 114
- 12
hapo kinachofatia wataanza tu kubanjuana wakati mwenzie ni mme wa mtu tayari
Come on guyz...mbona hapa wengi wenu mnapenda kuongea UONGE MTUPU...BIG LIESSS...wewe unawezaje kuzuia hisia za mapenzi za mtu amabaye unajua fika uwepowake karibu yako ni furaha tosha moyoni mwako??...UKWELI NI HUU...kuoa au kuolewa hakuondoi hisia za mapenzi ya dhati kwa tuliowahi au tunaweza kukutana nao kama wapenzi...
tahadhari ..NI VIZURI KUHESHIMU MAUSIANO AMBAYO UMEYAKUTA WATU WAKIENDELEA NAYO KWA KUWA MWANGALIVU ILI USIYAHARIBU AU HATA KUVUNJA NDOA YAO....jitahidi kuwa mwizi mtaalamu...unakula na kipofu...ukamshika mkono tuu... ujue msosi ndio ushaharibika na hauliki....
FRANKLY SPEAKING ..MIE X-GF kama tulikuwa na chemistry ya ukweli huwa sijali she is or am married...NA-DO IT AGAIN .... na akitokea binti akaiteka roho yangu INSHALLAH kitu nimepewa bure kwanini nimnyime mwenzangu mwenye shida nacho...nammega sema mama watoto asijue...AKAJUA TUUU...my stake IPO KWA MAMA WATOTO ...she comes first n i'll do whatever it takes to save my marriage....
si unajua mambo ya kina T.WOODS NA B.CLINTON...mama zetu waelewa apology hupokelewa.....HUO NDIO UKWELI HALISI HATA KAMA NI MGUMU KUELEZWA HADHARANI
imebidi tu nicheke. lo people have decided to tell it like it is.
...lakini hawa baadhi ya wadada ambao hawajaolewa lini wataacha waume zetu tuishi nao kwa amani? kwa nini wasitafute wa kwao?
hapana swali langu liko vilevile nilivyoliweka, si lazima liwe kama uonavyo wewe, japo unaruhusiwa na wewe kuuliza hivyo uonavyo wewe.mi naona swali lako lingekuwa hivi....lakini hawa waume zetu wataacha lini baadhi ya wadada ambao hawajaolewa tuishi kwa amani?kwa nini wasitulie na sisi?
coz it takes two to tangle.
imebidi tu nicheke. lo people have decided to tell it like it is.
...lakini hawa baadhi ya wadada ambao hawajaolewa lini wataacha waume zetu tuishi nao kwa amani? kwa nini wasitafute wa kwao?
Hio code swtching na code mixing mleta mada uliyodondosha kwenye bandiko kweli imesimama.
imebidi tu nicheke. lo people have decided to tell it like it is.
...lakini hawa baadhi ya wadada ambao hawajaolewa lini wataacha waume zetu tuishi nao kwa amani? kwa nini wasitafute wa kwao?
Madam pls respect single people,if every woman was married ungekuwa bibi mkubwa kwako.Hakuna mtu anahaja na waume wa wenzao.Wot happened is that huyu alikuwa first boyfriend.Tena walipendana kwa dhati kwa miaka tatu.Huyu dada alijaribu kuavoid the guy kwa kujuwa yeye ni mume wa mtu but the guy alimtafuta juu chini mpaka akampata.This lady is human,wewe huna hisia zozote kwenye first love wako? Nyinyi ni hypocrates ! Huyu dada kama alikuwa na nia mbovu hata hangekuwa frank na kutafuta mawaidha.Angeendelea kisiri vile wengi huwa wanafanya
so pls constructive advice only.wacha madharau na matusi!
Ningekuwa mie nigemfunulia,kwani ni chaki hio useme itaisha???so long as mkewe hajui sioni any harm :glasses-nerdy: