Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Sasa kweli heaven mmeo nioshe masufuria na beki 3 yupo mjengoni mamsap? Haya tuna mtoto wetu Sarah nae anakupiga tough akitoka shule...Muhimu nitakudekeza tu maana napata likizo ya majukum flani ila kupigishana deki hio labda ujaribu india na ufilipino!
Kubebisha inahitaji masaa mangapi?Tatizo maisha yetu ya kibongo ni magumu..You have to spend most of your time toiling it up kwa ajili ya familia iendelee kustawi. Huo muda wa kufanya hayo ya kubebishana huku unadaiwa ada na kodi..huku bill zinakutazama. Mke ana kazi nzuri ila hela yake haiguswi anadai yeye aliagizwa utii tu, hapo kidume unahenyeka kuweka mambo sawa...sio kama hatupendi hayo siku upo free weekend umeshinda home gubu, aisee kuna wanawake wana kelele jamani
Yani hawa utadhani wakomaMmmh nyie hata mbaki wawili ndani ya nyumba na mwenzio anaumwa, still utaambiwa "jikaze tu", ilhali mume ni mzima wa afya na yupo tu. Huko kumdekeza mwenzio si ndo mnaita ufilipino?
Pole kwa kutendwa, mapenzi ni kama kula tu hata chips kuku zinaweza kukuvuruga tumbo japo unazipenda kuliko vyakula vyote!
Tena siku hizi hizo Habari ni nyingi jaman. Ukipata kuona photoshoots za maharusii uwiiiiii wanapendeza,wananoga..watafute afta 6months balaa jinamizi kashaingia.Tumezidi na sisi, mtu asipoolewa tutamyooshea vidole kama ana nini sijui. Ndo watu wanajionea waolewage tu hata wakiishia kuona mikato ya chumba haina shida, ashatoa gundu. Siku hizi kigezo cha kuolewa ni umri, as if ukifikisha tu miaka kadhaa basi you are ready/fit for marriage. Huyo mwanaume ndo anahisi kakufanyia favor kukuoa so ndoani atarelax tu, wewe ndo uhangaike kwa ajili ya ndoa dooh
Akienda namuombea agongwe goti na boda pumbaav 😀Teh kuna mwingine mkigombana tu kidogo eti anaenda kulala nje ya nyumba hadi hasira ziishe, sijui sisi ndo hatunaga hasira. Kutafuta tu excuse ya kwenda kwa micheps
Hadi anaandika uzi huu wa kuvunja wenzie moyo anasahau kuna mwanamke mmoja alijitoa miezi tisa kumfanya yeye awepo...mitoto mingine taabu tupu!Mmezoea kuongea negative tu kuhusu ndoa, Ndio maana mauki anasifia mnamuona sio.
Hahhahaah shukrani. It's true wengi wanapenda wedding za reference. Ya flani ilikuaje inabidi nimzidi...halafu akishamzidi akiingia ndoani sijui vinaapply pia[emoji23][emoji23][emoji23]. Ndo maana ndoa nyingi hazidumu these days..watu wapo too materialistic.If this comes from the depth of your heart and soul agiza unachotaka ntalipa! You must be one of a kind kama umeweza kung'amua kuwa ndoa si harusi ya gharama..Ndoa ni maisha baada ya harusi kuisha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani hawa utadhani wakoma
Na hio ndio gharama ya kumuamini binadamu mwenzio kwa 100%. Next time jenga hali ya kutegemea lolote laweza tokea.Sikutendwa isipokuwa kuna viumbe wamejaliwa kutoa zawadi iitwayo "usaliti wa kuaminiwa" unakuja kuifungua inbox too late
Tatizo lipo pande zote mbili japo chanzo huenda ni Kati ya wanandoa. Usaliti ukiachana na tabia unasababishwa na kutoridhishana kimapenzi na kukosekana Kwa Salio la kutosha kumtunza mwanamke. Hasa wa Kiswahili, ambae anaamini ni wajibu wa mwanaume kumtunza kwakila Hali.Huenda amebahatika kupata ndoa nzuri anataka auaminishe umma kuwa ndoa nyingi ni pepo, but kiuhalisia majority ya ndoa za ki tz ni hell!
Hahaha hapo kwa role model hututendei haki heheheKweli kabisa, na hawa Wanaume ngozi nyeusi wasivopenda kuambiwa ukweli, role model wao ni yule "mimi sipangiwi"
wewe mwenyewe unagenerlze mambo umetoka kusema hapa huo ni ukweli ambao wanaume hawapendi kuusikia,unahukika gani ?akigeneralize na wee tulia hivyo ndivyo mlivyo,haya yote aliyaleta adamu mwanamke hakuwa kwenye mpango wa mungu shit marriageUmeshaweka akilini kuwa wanawake wote viburi. Hayo maperuvian kama huyapendi kwanini umchukue mwanamke wa hivyo? Duniani kuna wanawake wa aina mbali.mbali. nenda kwa yule unayeona anafaa. Mbona wapo !!! Usigeneralize vitu...watu hawafanani
.wewe mwenyewe unagenerlze mambo umetoka kusema hapa huo ni ukweli ambao wanaume hawapendi kuusikia,unahukika gani ?akigeneralize na wee tulia hivyo ndivyo mlivyo,haya yote aliyaleta adamu mwanamke hakuwa kwenye mpango wa mungu shit marriage
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo huyo mwanamke alimuokota akamuweka tumboni?Hadi anaandika uzi huu wa kuvunja wenzie moyo anasahau kuna mwanamke mmoja alijitoa miezi tisa kumfanya yeye awepo...mitoto mingine taabu tupu!
dua la kuku hilo halmpati mweeeeweeeAkienda namuombea agongwe goti na boda pumbaav 😀
Roho mbaya
Kwani wewe mama yako ameolewa? Na ana watoto?kwahiyo huyo mwanamke alimuokota akamuweka tumboni?