Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Wanawake tena tusipokee ushauri wa ndoa mume ahamie kwa mcheps, na hivi tunaanzaga kufundwa tangu tu tumezaliwa khee tunapokea tu. Yani wanaume wetu jamani khaa, wanatakaga tu kusikia habari za kuwafurahisha wao. Ndoa Inakuwa ni eneo lingine la kumuongezea raha mwanaume na kumtesa mke. Washindwe katika Jina la YesuNa pia anaongea mambo mengi tu kuhusu wanawake na mengine yanachoma kama pasi lkn sie tunapokea ushauri bila kulalamika.
Nini mp watu wanadeal na minuno ya mimbaUmenchekesha sana Eve, ila vipi kama huo mnuno ni wa MP. Unaweza kurekebishaje hapo?
Tatizo couples wengi these days wanaoana kwa mihemko...wanawaza perfect wedding. Lakini hawafikirii kuna mambo mengine baada ya hiyo wedding...kutwa kucha wanajipost instagram na kwingineko afta few days/weeks unasikia tofauti. Mwisho wanaogopesha hata wengine wanaona kama ndoa ni kitu kiguumu mno..Ndoa sio mbaya, hakuna kitu ambacho Mungu alikitengeneza afu akakiona ni kibaya,; vyote alivyovitengeneza Mungu ni vyema machoni pake including ndoa. Na hakuna taasisi ambayo Mungu ameiheshimisha kama ndoa. Ndo maana hata akaufananisha uhusiano wa mume na mke, na uhusiano wa Kristo na Kanisa. Sisi wanandoa ndo tunaijitahidi kuidharaulisha na kuitukanisha ndoa kutokana na matendo yetu. Angalau hata kina Chris wa najitahidi kuonesha kuwa pamoja na chagamoto zote, still Ndoa ni kitu chema sana, so tushirikiane kuzipa uhai ndoa zetu.
Wakati mwingine unatamani mawazo ya chriss mauki yahamie kwa mume wako teh..halafu mume mwenyewe hana muda wa kutafuta ushauri na mambo ya kuboresha penzi, yupo busy na mambo mengine kabisaWanawake tena tusipokee ushauri wa ndoa, na hivi tunaanzaga kufundwa tangu tu tumezaliwa khee. Yani wanaume wetu jamani khaa, wanatakaga tu kusikia habari za kuwafurahisha wao. Ndoa Inakuwa ni eneo lingine la kumuongezea raha mwanaume na kumtesa mke. Washindwe katika Jina la Yesu
Mnuno wa mimba ni wazii. Hukwepi maana unasubiria mwanao aje kukupooza machungu!Nini mp watu wanadeal na minuno ya mimba
Teh kuna mwingine mkigombana tu kidogo eti anaenda kulala nje ya nyumba hadi hasira ziishe, sijui sisi ndo hatunaga hasira. Kutafuta tu excuse ya kwenda kwa michepsMke akinuna unafanya marekebisho kuondoa huo mnuno, sio akinuna nawe unanuna, unaenda kucheka na washkaji bar hao sio wake zako
If this comes from the depth of your heart and soul agiza unachotaka ntalipa! You must be one of a kind kama umeweza kung'amua kuwa ndoa si harusi ya gharama..Ndoa ni maisha baada ya harusi kuisha!Tatizo couples wengi these days wanaoana kwa mihemko...wanawaza perfect wedding. Lakini hawafikirii kuna mambo mengine baada ya hiyo wedding...kutwa kucha wanajipost instagram na kwingineko afta few days/weeks unasikia tofauti. Mwisho wanaogopesha hata wengine wanaona kama ndoa ni kitu kiguumu mno..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema ukweli mwanaume una jukumu kubwa la kuifanya ndoa yako iwe imara. Kutolitendea haki hili ndio limefanya baadhi ya wanaume tuwe walalamishi na chanzo cha upendo kupoa.Kuna uzi uliletwa hapa tuongee mazuri ya wenzi wetu, hata page 2 hazikufika ingekua unahusu mabaya am sure 20 zingefika
Huyo atakuwa noma sana, kususia nyumba kabisa? Mpeleke kwa mauki tu amna namnaTeh kuna mwingine mkigombana tu kidogo eti anaenda kulala nje ya nyumba hadi hasira ziishe, sijui sisi ndo hatunaga hasira. Kutafuta tu excuse ya kwenda kwa micheps
Kuna mwenzao sijui anaendaga kwenye seminar za Mauki na mkewe, Eeeh alivyoshambuliwa. Ila ingekuwa kasema ameenda vacation na hawara yake wangemsifia kweli eeh kidume. Waache watianage ujinga, wanaume wenye akili khaa wataucheka wakati. Wanaenjoy tu ndoa zao na wake zao, waache wengine waendelee kudumu kwenye ndoaWakati mwingine unatamani mawazo ya chriss mauki yahamie kwa mume wako teh..halafu mume mwenyewe hana muda wa kutafuta ushauri na mambo ya kuboresha penzi, yupo busy na mambo mengine kabisa
Exactly, wanawaza perfect wedding lakini hawako determined kujenga perfect marriage. Hili ndilo janga kubwa.Tatizo couples wengi these days wanaoana kwa mihemko...wanawaza perfect wedding. Lakini hawafikirii kuna mambo mengine baada ya hiyo wedding...kutwa kucha wanajipost instagram na kwingineko afta few days/weeks unasikia tofauti. Mwisho wanaogopesha hata wengine wanaona kama ndoa ni kitu kiguumu mno..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh hao wanaume wa kumsikiliza Mauki wako wapi? Watu kuleta tu ubabe muda wote kisa mwanaume seeeeeeeeeeeeeeeeHuyo atakuwa noma sana, kususia nyumba kabisa? Mpeleke kwa mauki tu amna namna
Tatizo maisha yetu ya kibongo ni magumu..You have to spend most of your time toiling it up kwa ajili ya familia iendelee kustawi. Huo muda wa kufanya hayo ya kubebishana huku unadaiwa ada na kodi..huku bill zinakutazama. Mke ana kazi nzuri ila hela yake haiguswi anadai yeye aliagizwa utii tu, hapo kidume unahenyeka kuweka mambo sawa...sio kama hatupendi hayo siku upo free weekend umeshinda home gubu, aisee kuna wanawake wana kelele jamaniKusema ukweli mwanaume una jukumu kubwa la kuifanya ndoa yako iwe imara. Kutolitendea haki hili ndio limefanya baadhi ya wanaume tuwe walalamishi na chanzo cha upendo kupoa.
-Silasc-
Unamsaidia majukum yake lakini? Au ndio umeagizwa utii tu...Anahenyeka mwenyewe kuhudumia familia?Mmh hao wanaume wa kumsikiliza Mauki wako wapi? Watu kuleta tu ubabe muda wote kisa mwanaume seeeeeeeeeeeeeeee
Tumezidi na sisi, mtu asipoolewa tutamyooshea vidole kama ana nini sijui. Ndo watu wanajionea waolewage tu hata wakiishia kuona mikato ya chumba haina shida, ashatoa gundu. Siku hizi kigezo cha kuolewa ni umri, as if ukifikisha tu miaka kadhaa basi you are ready/fit for marriage. Huyo mwanaume ndo anahisi kakufanyia favor kukuoa so ndoani atarelax tu, wewe ndo uhangaike kwa ajili ya ndoa doohTatizo couples wengi these days wanaoana kwa mihemko...wanawaza perfect wedding. Lakini hawafikirii kuna mambo mengine baada ya hiyo wedding...kutwa kucha wanajipost instagram na kwingineko afta few days/weeks unasikia tofauti. Mwisho wanaogopesha hata wengine wanaona kama ndoa ni kitu kiguumu mno..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa namwambia hilo mpenzi wangu always, you'll never live a happy life ukikurupukia ndoa. Fantasy za kuolewa Serena na gown la bei mbaya. Harusi superficial ndio zinawaangamiza wenzio hawana raha ndoani. Kubali maisha yako utakuwa happy always!Exactly, wanawaza perfect wedding lakini hawako determined kujenga perfect marriage. Hili ndilo janga kubwa.
-Silasc-
Pole kwa kutendwa, mapenzi ni kama kula tu hata chips kuku zinaweza kukuvuruga tumbo japo unazipenda kuliko vyakula vyote!Real love is really stupid
Nyie kusaidiwa mnapenda kweli, ila ikifika muda wa kusaidia wake zenu "ooh kazi za kike". Mbona wanawake wengi tu wanasimamia show ya kuhudumia familia, ila still mume atataka hata uwe unamfumbua na kope ili aamke mweeh. Hakuna kitu kizuri kama wanandoa kutreatiana kwenye misingi ya utuUnamsaidia majukum yake lakini? Au ndio umeagizwa utii tu...Anahenyeka mwenyewe kuhudumia familia?
Sasa kweli heaven mmeo nioshe masufuria na beki 3 yupo mjengoni mamsap? Haya tuna mtoto wetu Sarah nae anakupiga tough akitoka shule...Muhimu nitakudekeza tu maana napata likizo ya majukum flani ila kupigishana deki hio labda ujaribu india na ufilipino!Nyie kusaidiwa mnapenda kweli, ila ikifika muda wa kusaidia wake zenu "ooh kazi za kike". Mbona wanawake wengi tu wanasimamia show ya kuhudumia familia, ila still mume atataka hata uwe unamfumbua na kope ili aamke mweeh. Hakuna kitu kizuri kama wanandoa kutreatiana kwenye misingi ya utu