Kugombana kupo, ni wapi amesema hawajawahi kugombana? Lakini anatufundisha jinsi njia sahihi ya kusuluhisha endapo mtagombana. Wapi amekosea?Nimemsikia ila tatizo its less practical...siamini kama utaishi na mumeo milele hamjagombana. The guy doesn't give a touch ya hilo...ina maana hajawahi nuniwa na mkewe!?
Kwahio ye ni kungwi eeh...ha ha ha ha!Kugombana kupo, ni wapi amesema hawajawahi kugombana? Lakini anatufundisha jinsi njia sahihi ya kusuluhisha endapo mtagombana. Wapi amekosea?
Yaani ni upuuzi uliopitiliza, utakuta mtu anasema mke ajishushe, amuombee mumewe na mambo mengi kibao mke ndo afanye jitihada za kuimarisha penzi, wakati huo mume karelax akitegemea mke yupo atanivumilia upuuzi wangu. Na hafanyi jitihada zozote za kuboresha mahusianoNa ndoa ni watu wawili, hawa wao wanataka kuona mwanamke anapambana kuijenga wao pembeni tu wanakuna pmb
Unaweza kusema hivyo. Asipotokea wa kutufundisha na kutuelekeza unadhani itakuaje? Tunahitaji watu kama hao maana si kila kitu tunajua.Kwahio ye ni kungwi eeh...ha ha ha ha!
Mke akinuna unafanya marekebisho kuondoa huo mnuno, sio akinuna nawe unanuna, unaenda kucheka na washkaji bar hao sio wake zakoNimemsikia ila tatizo its less practical...siamini kama utaishi na mumeo milele hamjagombana. The guy doesn't give a touch ya hilo...ina maana hajawahi nuniwa na mkewe!?
Kweli mkuu.
Tatizo na nyinyi rafiki yako akikutaka basi na urafiki unauvunja! Best yako damu in ngumu kukuvua pichu na kukutelekeza! Muwe mnawakubalia tujenge ndoa njema Kwa ustawi wa familia zetu.Kweli mkuu.
Itokee na yeye kakupenda. Usilazimishe. Sio kila best friend anaweza akawa mke/mumeTatizo na nyinyi rafiki yako akikutaka basi na urafiki unauvunja! Best yako damu in ngumu kukuvua pichu na kukutelekeza! Muwe mnawakubalia tujenge ndoa njema Kwa ustawi wa familia zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaa ujue jana niliona ule uzi nikabaki natoa tu macho, wanaume wengi ni wabinafsi jamani. Kisa mambo mengi anayoongea Chris ni ya kuwapa furaha wanawake basi ndo wanamshambulia. Ingekuwa anasema wanawake wabebeni waume zenu migongoni ili wasichepuke ungewaona ambavyo wangechekelea, wanavyojikuta walemavu wa viungo sasa. Ukija uzi humu wa kuwakumbusha wanawake wanajazana hao na kujichekesha "eeh umeolewa, huna mdogo ako", mtcheew. Subiri uje uzi wa kuwakumbusha wanaume sasa "ooh tamthilia sijui biashara sijui ndoa za insta". Yani Chris hata kama anavyoishi ndani ni tofauti kidogo lakini you can still see he is trying, nani asiyependa mume wake amuappreciate like he does?Amebahatika kupata mke ambae wanaelewana. Goal yao kuhakikisha ndoa yao inadumu. Na sidhani kama wapo perfect bali wanajitahidi kufundisha yale yanayofundishika. Tatizo wanaume hampendi kujifunza mpo mpo tu. Jengeni ndoa zenu bana
Mpk amekuwa rafiki means mnapendana kama marafiki. Mmoja akipata hisia za mapenzi kwa mwingine basi mpeane nafasi Mara nyingi things start to work out.. Wengi huvunja urafiki na kuona mwenzie amemdharau.Itokee na yeye kakupenda. Usilazimishe. Sio kila best friend anaweza akawa mke/mume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana. Wanamuona kama mchawiMmezoea kuongea negative tu kuhusu ndoa, Ndio maana mauki anasifia mnamuona sio.
Na pia anaongea mambo mengi tu kuhusu wanawake na mengine yanachoma kama pasi lkn sie tunapokea ushauri bila kulalamika.Khaa ujue jana niliona ule uzi nikabaki natoa tu macho, wanaume wengi ni wabinafsi jamani. Kisa mambo mengi anayoongea Chris ni ya kuwapa furaha wanawake basi ndo wanamshambulia. Ingekuwa anasema wanawake wabebeni waume zenu migongoni ili wasichepuke ungewaona ambavyo wangechekelea, wanavyojikuta walemavu wa viungo sasa. Ukija uzi humu wa kuwakumbusha wanawake wanajazana hao na kujichekesha "eeh umeolewa, huna mdogo ako", mtcheew. Subiri uje uzi wa kuwakumbusha wanaume sasa "ooh tamthilia sijui biashara sijui ndoa za insta". Yani Chris hata kama anavyoishi ndani ni tofauti kidogo lakini you can still see he is trying, nani asiyependa mume wake amuappreciate like he does?
Kweli kabisa Evelyn.Mmezoea kuongea negative tu kuhusu ndoa, Ndio maana mauki anasifia mnamuona sio.
Umenchekesha sana Eve, ila vipi kama huo mnuno ni wa MP. Unaweza kurekebishaje hapo?Mke akinuna unafanya marekebisho kuondoa huo mnuno, sio akinuna nawe unanuna, unaenda kucheka na washkaji bar hao sio wake zako
Hili nakubali 100%
Ndoa kuwa imara si bahati tu. Lazima kuwe na mawasiliano mazuri ili muweze kuifanya izidi kuimarika. Wengi hawafanyi juhudi za kuimarisha zaidi ya kulumbana na lawama pindi tatizo linapojitokeza.Huenda amebahatika kupata ndoa nzuri anataka auaminishe umma kuwa ndoa nyingi ni pepo, but kiuhalisia majority ya ndoa za ki tz ni hell!
Kuna uzi uliletwa hapa tuongee mazuri ya wenzi wetu, hata page 2 hazikufika ingekua unahusu mabaya am sure 20 zingefikaKweli kabisa Evelyn.
-Silasc-