ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,589
- 130,945
Tukukosea tunasema "yaishe"!Ni kweli na mara nyingi wanaume wakikosea kusema "sorry-samahani" ni kama kituo cha polisi.
Tukukosea tunasema "yaishe"!Ni kweli na mara nyingi wanaume wakikosea kusema "sorry-samahani" ni kama kituo cha polisi.
Huachi tu uchoyo? Mbona kunizibia riziki jamani khaaa, hutaki uwe shem darling wangu nikalime matikiti na mie?[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaha, wewe upo occupied bwana. Au na wewe unataka ubadilishe mboga sis darling??
Teh hujatuelewa bana, so relaxNaona kama maneno yako yanakinzana na matendo yako, hainaga ushemeji tunakulaga!!!!!! hahaha....
well understood.asante sana mtoa uzi![]()
Kwa wale wanaongojea Mr Right and Miss Perfect.
I thought your priority is the first one, (money, money, money..... in the box)money in the box not marriage?
yani hivyo pesa kwanza mengine nityajaza badaeI thought your priority is the first one, (money, money, money..... in the box)
Mimi ndio mdogo wake sasa kwa hiyo wakaribishwa sanaTeh hujatuelewa bana, so relax
Hahaha sio weweMimi ndio mdogo wake sasa kwa hiyo wakaribishwa sana
Bro. njoo saidia jahazi lisizame maana ndege tumemnasa lkn tusipoangalia anaweza kukata kamba.Hahaha sio wewe
Ndiyo shem darling, nilikuwa nakukumbusha tu kuhusu yule mdogo ako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana kiongozi, siwezi kufanya hivyo. Mambo ya hainaga ushemeji tunawaachia nyie vijana wa kisasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Bro. njoo saidia jahazi lisizame maana ndege tumemnasa lkn tusipoangalia anaweza kukata kamba.
Asee kuna uzito fulani huwa unakuwepo ila huwa ni jambo zuri kuomba samahani ili kuweka mambo sawa ktk mahusiano pindi tunapokosea Sky Eclat.Ni kweli na mara nyingi wanaume wakikosea kusema "sorry-samahani" ni kama kituo cha polisi.
Hebu simama kidogo bana nimalizie sera za chama changu maana kale kainterview kako kalinikosha sana ujue.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Kiukweli ndio ni kuna uzito sana tunahisi twajishusha kuna mazingira mengine ya makosa huwa ni wazi kabsa ila sasa msamaha mbadala wake huwa twatumia "Yaishe Dear" .....Mwanaumbe kuomba msamaha anaona kama anajishusha.
Haha ahsante ujueHebu simama kidogo bana nimalizie sera za chama changu maana kale kainterview kako kalinikosha sana ujue.
Basi kesho wakati watu wanaenda kwenye UKUTA sisi tukafanye yetu yapasayo kwayo,, ila Mgirik asijue kabisa... 😀😉🙂yani hivyo pesa kwanza mengine nityajaza badae
mgiriki lazima nimuombe ruhusa.. ukuta nasikia aupo tenaBasi kesho wakati watu wanaenda kwenye UKUTA sisi tukafanye yetu yapasayo kwayo,, ila Mgirik asijue kabisa... 😀😉🙂