ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,589
- 130,945
Hahaha dah, mtani we balaa! "Anaita abiria lakini yeye hasafiri"Inawezekana pia akawa kama "mpiga debe" wa stand....
I hope unawafahamu vyema...
Hahaha dah, mtani we balaa! "Anaita abiria lakini yeye hasafiri"Inawezekana pia akawa kama "mpiga debe" wa stand....
I hope unawafahamu vyema...
ngoja niisave hii cause i got nothing to offer!
Na'am...Hahaha dah, mtani we balaa! "Anaita abiria lakini yeye hasafiri"
Na'am...
Au mfano wa kibao njiani...
Kinakuelekeza njia ya kwenda sehemu ambayo hata chenyewe hakijawahi kufika...
Ila nampenda sana huyu dada yangu Sky Eclat , ana constructive thoughts...
Ila kiukweli haya mambo yana umuhimu kuanzia chini sababu they mnavyojitengezea haya mazuri tho najua yaweza isiwe 100% but hata ukiwa na partner ambaye yuko tayari kujifunza na mwelekeo hata by observing what He/Her partner anachomfanyia huwa inaleta maana na uhai katika mahusiano mpaka ndoani. Kujaza Boksi kwa mazuri inahitaji ujasiri na kupiga Moyo konde hasa pale mwenzi wako akiwa haoni yote hayo bali Ni Upendo wa Agape uliokuwa nao ww.![]()
Kwa wale wanaongojea Mr Right and Miss Perfect.
Eeeeeh! umtafutie bnam yako ili baadae ugeuke manfongo sio? eti hainaga ushemeji!Likewise..
Yupo smart sana kwenye maswala ya mahusiano. Nitamtafutia binamu yangu..teh[emoji12] [emoji12]
Haha wewe huwa mkorofi ujue, umenikumbusha mpwa kikulachochako na mfano wako wa kibao cha direction tehNa'am...
Au mfano wa kibao njiani...
Kinakuelekeza njia ya kwenda sehemu ambayo hata chenyewe hakijawahi kufika...
Ila nampenda sana huyu dada yangu Sky Eclat , ana constructive thoughts...
Haya mtani...Likewise..
Yupo smart sana kwenye maswala ya mahusiano. Nitamtafutia binamu yangu..teh[emoji12] [emoji12]
Huyu mtani wangu hakulagi...Eeeeeh! umtafutie bnam yako ili baadae ugeuke manfongo sio? eti hainaga ushemeji!
Mimi nahisi ndio lengo lake kuu maana kwanini amtafutie bnam yake? I'm doubting.Huyu mtani wangu hakulagi...
Anaheshimu sana hizi idara za watu..
Eeeeeh! umtafutie bnam yako ili baadae ugeuke manfongo sio? eti hainaga ushemeji!
Hapana kiongozi, siwezi kufanya hivyo. Mambo ya hainaga ushemeji tunawaachia nyie vijana wa kisasa.Mimi nahisi ndio lengo lake kuu maana kwanini amtafutie bnam yake? I'm doubting.
Ameona hii neema ampendelee binamu yake...Mimi nahisi ndio lengo lake kuu maana kwanini amtafutie bnam yake? I'm doubting.
Jamaa yangu mmoja ananiambia walikuwa kwenye ugomvi na mke wake, baada ya chat massages kukutwa kwenye simu, hakuwa na lakujieleza. Katikati ya sitomfahamu hiyo mama wa mume alilazwa hospitali, basi simu ilipigwa kwa mke kwanza, yule dada alikwenda dukani akamfanyia mama shopping ya night-dresses, nguo za ndani, sabuni, deodorant, mswaki, dawa, lotion akaenda navyo hospitali. Yule bwana anakwenda hospitali anamkuta mama yuko fresh, na anamwambia kweli umepata mke, sasa jamaa akifikiri alivyolikoroga nafsi inamsuta.Ila kiukweli haya mambo yana umuhimu kuanzia chini sababu they mnavyojitengezea haya mazuri tho najua yaweza isiwe 100% but hata ukiwa na partner ambaye yuko tayari kujifunza na mwelekeo hata by observing what He/Her partner anachomfanyia huwa inaleta maana na uhai katika mahusiano mpaka ndoani. Kujaza Boksi kwa mazuri inahitaji ujasiri na kupiga Moyo konde hasa pale mwenzi wako akiwa haoni yote hayo bali Ni Upendo wa Agape uliokuwa nao ww.
Kumweka Mungu mbele, busara, hekima, na Kujaza Boski ukipata hayo katika karne hii ni jambo la kushukuru sana.
Exactly mtani...Hapana kiongozi, siwezi kufanya hivyo. Mambo ya hainaga ushemeji tunawaachia nyie vijana wa kisasa.
Ndiyo shem darling, nilikuwa nakukumbusha tu kuhusu yule mdogo ako[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana kiongozi, siwezi kufanya hivyo. Mambo ya hainaga ushemeji tunawaachia nyie vijana wa kisasa.
Haya mambo mara mwisho wake ndo ivo mtu hupatwa na aibu, aliyofanya huyo mwanamke ni jambo jema sana, sasa pata picha angeamua kuchachamaa pasingekalika. Ndo yale mambo watu husema, umuhimu wa mtu ni pale mpaka aondoke kwenye maisha yako au watu wanaona mema afanyao mwenzako lakini ww kujifanya huoni au makusudi tu.Jamaa yangu mmoja ananiambia walikuwa kwenye ugomvi na mke wake, baada ya chat massages kukutwa kwenye simu, hakuwa na lakujieleza. Katikati ya sitomfahamu hiyo mama wa mume alilazwa hospitali, basi simu ilipigwa kwa mke kwanza, yule dada alikwenda dukani akamfanyia mama shopping ya night-dresses, nguo za ndani, sabuni, deodorant, mswaki, dawa, lotion akaenda navyo hospitali. Yule bwana anakwenda hospitali anamkuta mama yuko fresh, na anamwambia kweli umepata mke, sasa jamaa akifikiri alivyolikoroga nafsi inamsuta.
Ni kweli na mara nyingi wanaume wakikosea kusema "sorry-samahani" ni kama kituo cha polisi.Haya mambo mara mwisho wake ndo ivo mtu hupatwa na aibu, aliyofanya huyo mwanamke ni jambo jema sana, sasa pata picha angeamua kuchachamaa pasingekalika. Ndo yale mambo watu husema, umuhimu wa mtu ni pale mpaka aondoke kwenye maisha yako au watu wanaona mema afanyao mwenzako lakini ww kujifanya huoni au makusudi tu.
Hahaha, wewe upo occupied bwana. Au na wewe unataka ubadilishe mboga sis darling??Ndiyo shem darling, nilikuwa nakukumbusha tu kuhusu yule mdogo ako[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana kiongozi, siwezi kufanya hivyo. Mambo ya hainaga ushemeji tunawaachia nyie vijana wa kisasa.
Naona kama maneno yako yanakinzana na matendo yako, hainaga ushemeji tunakulaga!!!!!! hahaha....Ndiyo shem darling, nilikuwa nakukumbusha tu kuhusu yule mdogo ako[emoji23] [emoji23] [emoji23]