Marriage Annulled After Separated Twins Marry !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marriage Annulled After Separated Twins Marry !!

Discussion in 'Entertainment' started by Steve Dii, Jan 11, 2008.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wanawane, Hii mbona noma!!

  Source: Foxnews.com

  SteveD.
   
 2. Augustoons

  Augustoons JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2008
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 410
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mwanangu hiyo kali,Steve D hivi vimbwanga unapata wapi? nadhani hapo ndipo tunapoona umuhimu wa traditional african marriages zinaposisitiza watu wafahamiane kwanza kabla ya kuamua kufunga ndoa. Maana ni kwa njia hiyo,suala hilo lingeweza julikana mapemaa kwa kutrace kila mmoja origin yake,na kwa nini aliasiliwa(adopted) na nani walikuwa wazazi wake.
   
 3. M

  Mwendapole Old JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2008
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 249
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Steve, ukiiangalia kwa mtizamo mwingine inatufundisha tabia za twins: hawa walikuwa wameungana, kutenganishwa kwao kutakuwa kulisababisha pengo kwa kila mmoja wao, nadhani kwa vile hawakujua kuwa ni pacha, punde kila mmoja wao alipomwona mwenzake ile nafasi iliyokuwa empty ndani yao ikajaa; nao bila jujua tafsiri ya reaction yao wakafikiri ni upendo wa m/me na m/mke, kumbe ni ule muungano wao wa asili uliclick.
  Na hili sio tatizo lao peke yao maana ndoa nyingi duniani zikifanyiwa research tutagundua kuwa hakuna ndoa, simply because of misinterpretation ya feelings za watu wanajikuta wameingia kwenye ndoa ambayo baadae inakuwa sio ndoa
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mwendapole, duuh hiyo mbona iko deep sana.... ahsante mkuu, surely you qualify for 'dr. love'!! lol

  Augustoons, kweli kabisa mwanawane... kinamna na kwa asilimia kubwa tu nakuunga mkono kuhusu 'traditional african marriages', lakini nazo ndiyo hivyo tena saa nyingine zina madhara yake....kuna habari za traditional marriages kuhusisha watu so close kwa ajili ya ku-maintain utajiri ndani ya ukoo tu, na matokeo yake ni kuwa sometimes, offcourse rarely, some recessive genes zenye madhara zinajirudia na kuharibu offsprings husika katika muungano huo, ambao kama ni mtaalam wa genealogy unaweza kuuita batili. Lakini katika mila zetu usingeonekana ambacho kingeonekana ni utajiri!!

  Kuna habari nyingi kuhusiana na haya kule kwa wenzetu India kutokana na mambo ya arranged marriages. Natumaini ulishasikia.


  SteveD.
   
 5. M

  Mwendapole Old JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2008
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 249
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jana nimesoma mahali kuhusu mapacha waliozaliwa huko Asia miaka ya 1800 wakiwa wameungana kifuani; wote walikuwa wanaume. Kilichoniacha hoi ni kwamba wazazi! wao waliwatumia kwenye sarakasi kiasi wakapata fedha zilizowawezesha kuretire North America wakiwa wakulima wakubwa; not only that; hawa jamaa walioa, and kwa pamoja walizaa zaidi ya watoto 14...upo hapo? wake zao walishindwa kuishi pamoja kwa hiyo jamaa wakawa wanaishi na mke mmoja kwa wiki kwa kupokezana...
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,419
  Likes Received: 81,466
  Trophy Points: 280
  Ujerumani wako mapacha wengine nao walitenganishwa mara tu baada ya kuzaliwa wao hawajalazimishwa kuachana na bado wapo pamoja kama mke na mume na wana watoto wanne kama sikose.
   
 7. M

  Mtu JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2008
  Joined: Feb 10, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hii kali mwanawane
   
 8. coxmase

  coxmase Member

  #8
  Jan 14, 2008
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kha Duniani Kuna Mambo Ya Ajabu, Lakini Kama Njiwa Ambao Hutotolewa Wawili Tu Na Kukua Pamoja Na Kisha Kuendeleza Uzao Huenda Ikawa Haina Madhara Kwao...but This Is Not An African Ethical Thing That Exists
   
 9. M

  Mwendapole Old JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2008
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 249
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hawa wameamua kufanya kweli, Duh! kama Adam na Hawa vile!
   
Loading...