Killuminati
JF-Expert Member
- Apr 24, 2007
- 329
- 36
Nikiwa mpenzi mmojawapo wa miondoko ya kunesanesa, na infact mpenzi mkubwa wa Peter Tosh nawauliza wana jamvi kuwa kati ya hawa mafahali wawili ni yupi unafikiri anaweza kuwa juu ya mwenzie in terms of ujabali wa reggae!! Na nyimbo gani angalau tatu unaweza kusema ukizisikiliza zinaweza kutusukuma wana reggae tuamini kuwa uliyemchagua kweli ni legend kwenye miondoko hii.
Caution: This is for reggae fans, if you dont feel the two dudes, keep it low,just read and enjoy it.
Killuminati.
Caution: This is for reggae fans, if you dont feel the two dudes, keep it low,just read and enjoy it.
Killuminati.