donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
-
- #21
Yea mkuu watoti wa hayati bobDuh, ni ndugu hao jamaa?
Ndio mkuu. Watoto wa Bob MarleyDuh, ni ndugu hao jamaa?
Nimemtafuta sana Damian, sijamuonaaa.Dooooh priceless
Ziggy,Stephen,Rohan,Kyaman,Damian,Julian na Rob
Hapo ni puff puff pasl
Yupo mbona hapo mkuuNimemtafuta sana Damian, sijamuonaaa.
Yupo mbona hapo mkuu
Yupo angalia vizurNimemtafuta sana Damian, sijamuonaaa.
Angalia wawili wa kulia wenye tishet nyeusi halafu niambieSamahan mkuu Hebu Niambie ni wangapi kutoka upande gani??
Wata gwani lady?jah bless ...
Wata gwani lady?
Usiseme maneno ya ujinga kwa kinywa chako, wala moyo wako usiwe na haraka kunena mbele za Mungu; kwa maana, Mungu yuko mbinguni, na wewe upo chini, Kwa hiyo maneno yako na yawe machache.Ahimidiwe Jah rastafaray the majest selasie yeye atupae mmea wa utambuzi wa mema na mabaya mmea umeao kondeni kwa ajili ya kitubio na sala amani na upendo udumu daima
Mkuu huyo sio Dammy,.... Hebu fananisha na hii pix ninayoweka hapa.Angalia wawili wa kulia wenye tishet nyeusi halafu niambie
View attachment 598146
Mkuu huyo sio Dammy,.... Hebu fananisha na hii pix ninayoweka hapa.
Together as one.
Basi humjui kumbeView attachment 598146
Mkuu huyo sio Dammy,.... Hebu fananisha na hii pix ninayoweka hapa.