Sijui na sisi tuanzishe [HASHTAG]#bringbackourmarlaw[/HASHTAG] kama Team Wema?
....unadhani ni rahisi kama una shepu ya kabati!?Namaanisha tunamtaka Marlaw wetu. Yani sauti hii Besta ameihodhi tu mwenyewe!! Sio haki
ati nini?....unadhani ni rahisi kama una shepu ya kabati!?
....acha maskhara aisee!..lile nyoro la Besta utafananisha na vitako ka vya Rose Muhando vilivyosinyaa kama anaogopa sindano!??Ni rahisi mkuu. Shepu ni shepu tu, ya kabati ya kochi ya kitanda
I am serious. Huo mzigo wa besta unakusumbua wewe tu sio mimi.. Nyama hata kwenye sambusa zipo. Una lingine?....acha maskhara aisee!..lile nyoro la Besta utafananisha na vitako ka vya Rose Muhando vilivyosinyaa kama anaogopa sindano!??
..seriously you can't be serious!
Nyama hata kwenye sambusa zipo.
....maneno ya kujifariji haya!
Una lingine?