Marketing managers contacts | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marketing managers contacts

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ANDENDEKISYE C, Oct 5, 2012.

 1. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dear Friends,
  I am looking for Marketing Managers in the companies/organization/Hotels listed below; kindly share with me their contact details just in case you have and feel free to introduce me to them. I am working on the advertisement idea that, I am confident they will be interested on to partner with . It is a new business idea.
  Kindly receive my heartfelt thanks for your support.
  1. Simba C...ement company and Twiga Cement company
  2. CocaCola Kwanza
  3. Zantel
  4. Tigo
  5. Vodacom
  6. Airtel
  7. National Housing Cooperation
  8. Tanzania Education Authority
  9. Quartar Airways and Precision airways
  10. Alaf limited
  11. Kempinski Hotel
  12. Serena Hotel
  13. Ubungo Blue Pearl Hotel
  14. Giraffe Ocean View Hotel
  15. Banora
  16. And; any Functional Hall such as Banora etc

  Plse send me the dails thrugh 0763 894508
   
 2. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Mi ninazo like 10 of the above ila siwez kukupa hivhivi,Ukienda kupresent chini ya kiwango utanishusha na mimi. Show me what u got first, if i like it nitapa mchongo. If i dont baaaaaassss! Ila kukupa tu coz you believe you have an idea? HELL NO!!!!
   
 3. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  come oon!..acha kumbania mjamaa..kwanza its not ideal to share a pertinent business idea jst like thaaat..imagine anaenda kwa receptionist wa one of those companies naye hataki kumruhusu kuenda ndani until amejua details of the discussions..its madness..mpatie hizo contacts mshkaji akapige dili atoke..after all lara1 isn't your real name..na pia si lazima aseme kuwa amepata kutoka kwako..
   
 4. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Watanzania tuna Roho mbaya sana
   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa! Mkuu Pax, hili jina Lara is my real name, seriously. Alaf unadhani nikimpa tu hizo namba akipiga atascore appointment? Thubutuuuu! Im in marketing shit for too long i know the rules! Kinachotakiwa ni kupiga na kusema nimeelekezwa kwako na Lara au flani, hapo Manager atajudge credibility ya huyo muelekezaji interms of 10% atampa apointment soon, coz anajua flani ni mzee wa mishe za ukweli. Akienda by the book, ataambiwa THIS IS NOT GOOD ENOUGH, alaf wazo lile linaundiwa timu ya wazee wa kazi na kuwakilishwa upyaa na linapita. Cha kufanya asitake kufanya mambo individual! Atafute wadau kama kina Rage, Chief Kiumbe, Mwakalebela ambao wana relations na hao managers awagawie % hapo ndo kitaeleweka. In short Events na Promotion za 90% ya hayo makampuni zina WENYEWE. Mjini Mipango sio shule!!!!!!
   
 6. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Sio roho mbaya, that is professionalism. Wewe haupo in this Marketing Shit!!! Utagawaje namba ya mtu aliyokupa professionaly wakati hujui unayyemgaia ataitumiaaje. JE KAMA ANATAKA KUTAPELI? Watu wana mawazo every day, the matter is HAYO MAWAZO ARE THEY GOOD ENOUGH? Afterall its the way of business, huwezi kufanya kazi ON BELIEF kuwa kila mtu ana jambo la msingi. Ishu tofauti ya Watz na Wakenya, Wa tz tunafanya vitu very LOCAL!!!!!!!! Kama kweli mtu una wazo kubwa hivo, kwanini Usijiunge na Promotion Company ikakurepresent. Hata ukienda huko ukiwa umetokea kampuni flani INAKUWA NA UZITO sio unaenda as a NOBODY WITH BIG IDEAS!!!!!!!
   
 7. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Kwa mtindo huu tutawapata marekani Mwaka 3000
   
 8. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa! Hata tusipowapata WHO CARES!!!! Ishu ni kuwa every game has its rules, Either you play by the rules or you dont play at all!!!!!!!!!!!!Baaaaaaaaaaaaaaaaasss! System iliyopo ni ya unyonyajiii na hakuna wa kuirekebisha. Hata mimi nilivoingia niliboreka. Ila UKWELI NI KUWA IF YOU CANT FIGHT THEM JOIN THEM!!!!!! Hahahaaaaaa!!! WAPI SUGU NA ANTI VIRUS!!!!!! CUF NA CCM!!!!?
   
 9. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Yani haka kanchi kangekuwaga mbali sana asee...ila hii ndiyo sababu ya kurudi nyuma
   
 10. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Hahaaaa! NCHI ISHAUZWA HII KITAMBO!!! Ila mdau MFUNGWA wewe fikiria yaani watu wamekaa ofisini, uende na wazo lako, Mpaka kwa meneja, UMEWAPITA KAMA ZOMBIII, alafu MENEJA NAE KAMA ZOMBIII vile akupitishie MPUNGA MCHAFU, Uondoke urudi happily home!!!! MF!!!! WAO WAKALE POLISI!!!!!!!!!!!! UNAKULA KWA UREFU WA KAMBA YAKO!!!! HAHAHAHAAAAA! LA MSINGI NI KUGAWANA UMASIKINI!!!!
   
 11. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru wote kwa majibu haya, mimi naona kwa wazo lilivyo litakuwa faida kwa kampuni hizo, kampuni yangu pamoja na watanzania wote watakaonufaika na matangazo hayo, kwa maana mbinu ambayo nimebuni inalenga kusambaza habari kwa haraka zaidi. Naomba mwenye data, kama uliyesema unazo naomba ni PM tuongee mengine yote tutajadili zaidi. Kikubwa tujue tunahitaji kujenga nchi kwa pamoja. Na mimi nikiwaona hao, nitawaambia kuwa wewe ndio umenipa contacts hizo. na nitakuwa tayari ku-share CV yangu kwao ili wajue wanawasiliana na nani.
   
 12. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Wish you the very best ndugu yangu Christopher..hope u've been good..I blv nlikuona mara ya mwisho pale IPS posta kabla hujaenda UK
   
 13. m

  mama dunia JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mie ilishanipata hii, unasema kweli kabisa!!
   
 14. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Thanks Lara,, Umenikumbusha mbali.
  In Bongo it does not matter what you have in your mind but who you have on your side..
  It suck, lakini ndiyo ukweli wenyewe kwenye hili Linchi la Mafisadi...
   
Loading...