Marketers na drivers ni hawajatulia

Marketers na drivers ni hawajatulia

"No research no right to speak" usituzalilishe marketers bwana, umalaya ni huruka ya mtu sasa wale machangudoa na wanafunzi vyuoni wanaouza papuchi zao ni drivers au marketers?
 
Ni tabia ya mtu tu ndo inamfanya kuwa malaya!
Hakuna taaluma inayogeuza mtu kutoka tabia yake halisi na kumfanya malaya.
 
"No research no right to speak" usituzalilishe marketers bwana, umalaya ni huruka ya mtu sasa wale machangudoa na wanafunzi vyuoni wanaouza papuchi zao ni drivers au marketers?

Marketers are vulnerable to work conditions na wanajirahisi sana Kwa clients ili wapate tenders
 
Madaktari ni hatari zaidi, walimu wa primary+ sekondari na vyuo, ndio usisema! wanafanya ngono hadi maofisini..pia walimu wa vyuo vilivyo chini ya VETA, kama DATA STAR, A3 Institute, vyuo vya utalii, eagle wings, sijui nini..ni hatari ya dunia////.... wanafanyana na wanafunzi balaaaa

Vyuoni huko ndo Balaa zaidi hakutamaniki
Watu wanatoa papuchi ili wafaulu mitihani Yao na makazini kadhalika
 
Hahhaaaa! TUTAKE RADHI KIJANA! Sales na marketing wana ujira mdogo? Labda kamahufiki targets! Kuse kweli kama ni kuwa exposed unakuwa exposed! UMALAYA TABIA YA MTU TU! Ila kiwa a natural akapata na chance matokeo yake yanakuwa EPIC!

The thing is I said they re vulnerable coz wanakuwa seduced much with clients
Na wao ili wapate deals kujirahisi muhimu na ukizingatia they have measured targets usipofikia wengine hata kulipwa hamlipwi salaries zenu
For instance una kwenda Kwa corporate client anatak kukupa deal ndefu ambapo ukisign inakuwa bonus Kwa kampuni na kwako pia ukiambiwa shush a pichu hapo utaremba Lara 1
 
Nimekuwa nikipata Fununu kutoka Kwa madereva malori Nliyowahi kufanya nao mahojiano na walikiri kuwa kila walipoenda safari iliwalazimu kuchukua Wke kila Kituo walipopiga kambi
Marketers,sales na loan officers nao ni hatari sana,huwa kazi zao zinawapelekea kufanya umalaya kutokana na malipo madogo ya ujira wao,they vulnerable coz they mingle with a lot of people in their daily activities
Most of them hawajaoa na kuolewa na they are against marriage beliefs and it's institutions

Hehehe... hii kali kaka!!!

Mi nasemaje.. umalaya ni hulka ya mtu.. sio sababu ya kuwa unaendesha lori au unafanya mauzo ndio ukawa malaya... ikiwa tabia yako inayo kupenda kufungua zipu basi hata ukiwa mfalme... wewe utazifungua zipu kwa sanaaa!!!!

One love.
 
The thing is I said they re vulnerable coz wanakuwa seduced much with clients
Na wao ili wapate deals kujirahisi muhimu na ukizingatia they have measured targets usipofikia wengine hata kulipwa hamlipwi salaries zenu
For instance una kwenda Kwa corporate client anatak kukupa deal ndefu ambapo ukisign inakuwa bonus Kwa kampuni na kwako pia ukiambiwa shush a pichu hapo utaremba Lara 1

Wewe kweli hii FANI huijui! HAIWEZEKANI MTU WA SALES AND MARKETING ASILIPWE! Yaani usilipwe afu utumwe ukapokee cash ya kampuni 100m kuendelea, sometimes 50m unapewa na escort kabisaaa! Sales n marketing wanalipwa sanaa ili kuwa MOTIVATED NA KUPUNGUZIWA VISHAWISHI WASIDOKOE!

This business is tough! Mtu akuahidi kitu umpe chiu akighairi je? sio rahisi kihivooo! ukiona mtu kavua pichu njaa zake tu!
 
"No research no right to speak" usituzalilishe marketers bwana, umalaya ni huruka ya mtu sasa wale machangudoa na wanafunzi vyuoni wanaouza papuchi zao ni drivers au marketers?

Na ningekuwa naruhusiwa kumtukana hawezi kutudharirisha hivi...
 
Utafiti huu sio sahihi. Marketers hivi unawafahamu kweli?! Fanya utafiti vizuri kuhusu hii profession sio kuandika na kudhalilisha profession za watu...
 
Nafikiri bankers na accountants

kwakuwa hawana vifanyio au vyao havifanyi kazi?endelea kufikiri tu....
umalaya ni tabia ya mtu haina uhusiano na profeshen kwani mapadri, masista sio malaya?
 
Back
Top Bottom