Marina Bay Sands: Bustani ya Angani

Marina Bay Sands: Bustani ya Angani

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,352
Reaction score
111,633
Sky Park " Marina Bay Sands is located on the 200-meter height (about 60 stories high) on the three skyscrapers, as if on three pillars. Here is the most expensive in the world of casinos , bars, restaurants, the largest outdoor swimming pool, 150 meters long and even the Museum of Modern Art.

1024px-2012-12-30_Marina_Bay_Sands_infinity_pool.JPG
 
Inajengwa moja Kigamboni kama hiyo, kiingilio ni fedha zako na kadi yako ya chama. CCM pekee, wawekezaji hawataki upiganaji humo.
 
Inajengwa moja Kigamboni kama hiyo, kiingilio ni fedha zako na kadi yako ya chama. CCM pekee, wawekezaji hawataki upiganaji humo.

Kiingilio ni kauli ya mh waziri mkuu
 
ila tuache masiala jamani, kuna watu wanafaidi sana angalia huyo mshkaji na hako kabinti, yaani kabichi kabis kabisa, sina cha kuongeza hapo mie. Nusura nishike picha hapo kwenye nyonyo hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mpwa naona mawazo yameenda mbaaaaalii....

Paloma hebu kuja kipande hii umtoe shem wako kabla hajajigeuza elekroni

Nusura nishike picha hapo kwenye nyonyo hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaa wee acha tu, hivi kwa mfano mtu anakudai, ndio anakukuta unakula bata huko juu si anaweza kukurushia chini huko? au wale jamaa wanang'oa kucha za watu na meno........hahaha ahuko mbali bhana
aiseee...... watu8 huyu Elli hakuwa na wikend iliyokamilika!
mhh ila huko mie bila floater siogelei, naweza kupitiliza.................cc Mentor
 
Back
Top Bottom