Mkuu SI, kwa wanawake na wivu wao Mmmh !! hapatoshi bado amwelekeze huko...Na handsome wake kajitosa mzimzmzima !!demu wake amemwabia ageuke aone jinsi nguo fupi zinavyodhalilisha wanawake
Kukinai na ulichonacho; Yaani unakula nyama choma sahani full....Halafu mara unatazama sahani ya mwenzio !! Vipi hapo? haya mamboz yapo very common kwa marijali..... Jamenii fungukeni mutupe taswira za mujini.
Heaven on Earth, sidhani kama hii inahusiana na wivu!
mi akina dada huwa nawachukulia kama N halafu sie wanaume tuko S..
sasa hebu niambie hiyo sumaku haitokuwa na mvutano kweli?
Hamuonei huruma huyo aliyenaye hapo pembeni kweli tamaa mbaya.
mbona mimi wa kwangu ananiambiaga nigeuke kama there is somethig impressing or annoying ktk uvaaji wa wanawake wenzake..ni lyf styl tu..Mkuu SI, kwa wanawake na wivu wao Mmmh !! hapatoshi bado amwelekeze huko...Na handsome wake kajitosa mzimzmzima !!
Kukinai na ulichonacho; Yaani unakula nyama choma sahani full....Halafu mara unatazama sahani ya mwenzio !! Vipi hapo? haya mamboz yapo very common kwa marijali..... Jamenii fungukeni mutupe taswira za mujini.
Ni tamaa tu zinawasumbua
Ni kweli lakini si ndo wanaume hawaridhiki kama matumbo vile kila ukilipa chakula litadai zaidi na zaidi!Yes.. Mkuu lakini Consider alombele yake !! Tathmini hisia za mwenza....!
Kukinai na ulichonacho; Yaani unakula nyama choma sahani full....Halafu mara unatazama sahani ya mwenzio !! Vipi hapo? haya mamboz yapo very common kwa marijali..... Jamenii fungukeni mutupe taswira za mujini.
Samaki aliyevuliwa hatupiwi ndoano yenye chamboMda mwengine utakuta mpenzi wake mzuri tu kuliko huyo anaemkodolea macho lol....viumbe wazito hawa...
Kukinai na ulichonacho; Yaani unakula nyama choma sahani full....Halafu mara unatazama sahani ya mwenzio !! Vipi hapo? haya mamboz yapo very common kwa marijali..... Jamenii fungukeni mutupe taswira za mujini.
Samaki aliyevuliwa hatupiwi ndoano yenye chambo
Yes.. Mkuu lakini Consider alombele yake !! Tathmini hisia za mwenza....!
Yule ambaye ni wako hata awe mzuri vipi huwezi kumkodolea tena macho maana tayari ushampenda, kipya cha nje ndo mara nyingi wanaume wanavitamani viingie ktk 18 zao hata kwa gharama yoyote ile.Mmmh una maana gani?