MaRijali mtaacha lini hulka hii..!

mbona hii hata kwa wanawake inawatokea!!

wivu is like pie! 22/7!
 
Sahani yangu nimewahi kumaliza kula, wenzangu wanakula kwa nyodo sasa mi nifanyeje??
Wanyumabi DO eeeh, tumbo ni moja umeshiba ukivimbiwa jee?!! Mda mwingi utapatwa na food poison !! atleast mwenza atakupa "First Aid"
 
Macho hayana pazia lol!!
Woow Mimi49... Kweli hayana pazia...na moyo hauza mfupa !! Lool !! Ukimuuliza vipi mie sijakupamba machoni? atajibu kipendacho roho dawa!! sasa nani mgonjwa ?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…