Nasikiliza hapa Maria space naona kama anajinyea na kujiharishia kwa hasira jamani , leo anaongea kwa msisitizo na mishipa imemtoka ya shingo kama vile anatumia dawa zileeeeeeeee
2. Mange kimambi naona kuanzia kesho atakuwa kapungua kilo 10 , haaamini kilichotokea
3. Kweli nimefurahi sana kuona nchi yangu ipo salama salmin
4 Kuna vikima wachache walitaka kujikusanya hapa Uyole walitolitewa kinyesi kwa kurushwa kichura chura kwa lisaa naona wamekwama na kuishiwa
5 Kuna watu wanasambaza uzushi balaaa kusambaza chuki tugombane wamekwama ,sasa tuijenge nchi yetu nzuri na tajiri vibaraka wote poleni sana
6. Furaha sana kwa sisi watafutaji binafsi, tumeshangilia sana, ila nawaone huruma wale ambao biashara zao ndogo wanakula per day wote wanalia njaaa, wa kulaumiwa Maria, Mange na Sativa ( namsamehe hata ningekuwa mimi ningekuwa na hasira na kinyongo alionewa) ila panya wengine akina mwaipaja poleni sana leleweni mpka mchoke huko na boss wenu analala chini kwenye zenge bichiiii
7. Fundisho tarehe 29 october mlilelegezewa mkatumia nafasi vibaya sasa oneni mkono ukikaza maisha yanavyokuwa , sasa hivi ni shaba tu na wasaliti kwenye vyombo hawatakuwa na makende kamwe