Maria Sarungi: Independent Candidate?

Rais Barack Obama hakuwahi kuwa na rekodi ya utendaji serikalini,alikuwa ni junior senator wa Illinois, Marekani lakini leo hii anaongoza taifa kubwa kabisa Ulimwenguni la Marekani.
Hivi senator akija bongo anaweza kuwa kiongozi wa level gani???!!!
 
Inasemekana mama yake anatoka ROMANIA,, Mumewake ni mu- ETHIOPIA kweli tuongozwe na mtu wa aina hii? u can't be serious?

acha mawazo ya watu wa ccm wewe mbona obama ni rais wa marekani na baba yake anatoka anatoka kenya?
 
Huku tunausemi, "mkate huandaliwa mazingira ya unakopikiwa" lakini pia haimaanishi ukichanganya mawe na mchanga katika mazingira ya jikoni utapata mkate!!!
 
Alipokuwepo kwenye Bunge la Katiba kuna lolote alilifanya likaingizwa kwenye hansard niende huko nikasome?
 
Kama mama yake mu- ROMANIA,,, then mumewe mu- ETHIOPIA tusipoangalia tutakuja kutawaliwa hata na MNYARWANDA,,,,
 
Huku tunausemi, "mkate huandaliwa mazingira ya unakopikiwa" lakini pia haimaanishi ukichanganya mawe na mchanga katika mazingira ya jikoni utapata mkate!!!

ushafilisika kifikra sasa unaanza mafumbo.
 
"Insiders" are the real deal, just a matter of constitutional premises!!!!

I am saying this because insiders are already corrupted by the corrupt system. You can't change the system if you're a part of it because you're obviously benefitting from it.
 
I am saying this because insiders are already corrupted by the corrupt system. You can't change the system if you're a part of it because you're obviously benefitting from it.
"Insiders" you meant from the party wing??
Thought you were thinking of the state. . . . . .
 
Acha wivu wakike!
 
Ingawa hatujaruhusu kuwa na independent candidates kwenye nchi hii, mtu wa aina hiyo ndiye nilikuwa ninataka ashike uskani wa kuingoza nchi hii.

Party politics zimechangia sana kuharibu nchi yetu na tunatakiwa kuachana nazo kuanzia sasa.

Kwa hiyo mmeamua kuiuza nchi kwa Waethiopia???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…