Maria Sarungi ni binti wa Mzee Profesa Philemon Sarungi aliyewahi kuwa mkurugenzi wa kitivo cha afya cha Muhimbili na baadaye kushika nyadhifa kadhaa serikalini kabla ya kusitaafu.
Mwanamama huyu ameolewa na mwanamme mwenye asili ya Ethiopia akiwa na maskani yake Dar es Salaama ambako ana biashara zake binafsi kadhaa, mojawapo ikiwa ya kutafuta warembo wa kushiriki mshindano ya Miss World ya Donald Trump. Mmoja wa warembo waliopitia katika mikono ya Maria Sarungi ni mrembo Flaviana Matata ambaye sasa hivi anang'aa sana kwenye anga za urembo huko New York Marekani.
Ingawa sijui undani wake binafsi, najua kuwa Maria Sarungi siyo mwanasiasa, bali aliteuliwa na Rais kuingia kwenye bunge la katiba ambalo limemaliza muda wake. Mchango wake kwenye bunge hilo la katiba uko wazi.
Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa, nimekuwa nafuatlia tweets zake, na kugundua kuwa ni mwanamama mwenye msimamo thabiti ambaye hajawa corrupted na party politics za vyama. Anachukua mazuri kutoka vyama vyote na kupinga mabovu ya vyama vyote.
Ingawa hatujaruhusu kuwa na independent candidates kwenye nchi hii, mtu wa aina hiyo ndiye nilikuwa ninataka ashike uskani wa kuingoza nchi hii.
Party politics zimechangia sana kuharibu nchi yetu na tunatakiwa kuachana nazo kuanzia sasa.
Of course wapo wengi,tatizo unajaribu kutaka kunibana ili ushinde hoja...I won't be caught up in such kinds of 'gotcha' games of yours
Back to your senses now!!!
You are good to go . . . . . . . . .
She can perform better on other areas where there is no government interference mostly in the private sector (organizations).She can do well in the government organizations & institutions/agencies as long as there is minimal interference by the government or else she might end up in the political ruins just like Balozi Kagasheki,Tibaijuka and many more ended.....
Ana bifu kali na serikali ya Rais wetu Jakaya. Siku zote Maria anadhani babayake, Prof Saronge, hajatendewa HAKI na serikali hii.Huyu ni Binti yetu wa Utegi. Maria Sarungi kati ya mabinti niliyoweza kuwaona wakijenga hoja ya ukweli ni Maria Sarungi. Maria Sarungi ana msimamo, Mkweli, mpenda watu na hapendi RUSHWA. Naona kwa sehemu kubwa amechukua damu ya mama yake ambaye ni mwenyeji wa Hungary. Hungary ilikuwa nchi ya kijamaa na kule rushwa ilikuwa kama dhambi kubwa na kwa sababu hiyo amechukua damu za wajomba zake kwa msimamo, mkweli na mchukia Rushwa. Nashangaa kwa nini Mhe. Rais hakumteua kuwa Mbunge wa kuteuliwa na baadaye kumfanya Waziri. CHAPA KAZI MARIA KWA KUWATETEA WATANZANIA. MUNGU ATAKULIPA.
A bit more wiser! !!!
And thus you are proposing that she is not fit as of now???!!
Mwanamama huyu ameolewa na mwanamme mwenye asili ya Ethiopia
She is not ready yet for the biggest office in our country but with the time on her side,She will be right there.She has the brains to run the country,Only experience, maturity are against her because she is still young.
you should direct your question to Maria sarungi
BUT she is not of the capacity for the big office!!!
thibitisha
She might make a good leader, BUT she is not of the capacity for the big office!!!
Hana rekodi ya utendaji serikalini. . . . .
Hana rekodi ya utendaji serikalini. . . . .
Kuwa Rais wa nchi zetu hizi za kizandiki yakupasa kuwa mwanamtandao...
Hadi hapa tulipofikia sioni nchi ikiongozwa na candidate asiye na chama chochote cha siasa...