Marhaba..... Looking butiful!

aisee angalia kwa makini hapa!!!

there is something here...

vere vere flabbergasting!

hii ngoma imekaa kiafrica zaidi si wajua hizi za kwetu huku...eh! na design hizi ni adimu pia....
 

cc : miss neddy
 
Last edited by a moderator:
Kweli kiti anachokalia kinafaidi...
 
du, ama kwa hakika angekuwa mwenyekiti msaidizi wa bunge maalum la katiba huyu hakuna mtu angekosa kikao, hata bila posho.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…