Marhaba..... Looking butiful!

afadhali umfundishe
 
hutaki nini mamii jamani?

mbona ushakuwa mkubwa! hebu kua bana!

kwani una miaka 12 bana mpaka ujibane kwa baba yako hivyo?

nina 12*3 jibu lake ndio miaka yangu lakini baba aliniambia mimi hata nikiwa bibi bado ni mtotot tu kwake na nideke kawake
 
nina 12*3 jibu lake ndio miaka yangu lakini baba aliniambia mimi hata nikiwa bibi bado ni mtotot tu kwake na nideke kawake

achana na babako bana, mzee mwenyewe yule mbona tunagongana nae mitaa nyeti tu kila siku!

hebu kuja pembeni nikuoneshe dunia inavyojizungusha kwenye mhimili wake!!

kuja uone jua linavyozama kwa mbwembwe!!
 
cc:utafiti
 
Kifo cha mende shida tupu. Hivyo vitu vinafaa kuviangalia ila ikifika wakati wa kifo cha mende ni shida afadhali ubao. Hii nilisimuliwa maana mie bado saaaaana kugusa

kamefikia litre ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…