Marekani yatoa onyo kali kwa msafara wa Rais Obama Dar Es Salaam

Naomba kwenye dhifa ya chakula cha usiku iwe kitaifa na sio kichama wala kifamilia.Sitegemei kuona kinamama wa ccm wala kirizione kwenye hiyo dhifa.

Pia napendekeza kwenye vikao vya wake wa maraisi wa Africa na mama Anna mkapa naye awepo.Huyu mama anaakil vizur kulinganisha na huyu tuliyenaye

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

sasa wewe unafananisha mwanamke wa kichaga na mwanamke wa pwani kimaendeleo?
 
Wenye meno ndio wakati wa kula tenda zote za ujio wa Obama si ajabu zimechukuliwa na walewale kwa siku 2 tu wanatengeneza hela ya kufa mtu
 
Hii safi sana. inafurahisha side walk ya kibaki road inatengenezwa vizuri, majengo ya tanesco opposite na ubalozi wa marekani yana
pigwa rangi freshi.. wiki ijayo tutaanza rasmi kudeki lami...

Na manukato mpulizie jamani maanake hilo jiji linanuka balaa.
 
Pamoja na ulinzi wote huo m2 akiamua amteketeze obama inawezekana ila inabidi na huyo m2 afe sasa hapo ndio panapokuwa pagumu waarabu ndio wanaweza.
 
Jamani si aje basi na nyumbani kwangu, nimenunua package kubwa ya Dstv kwa ajili yake
 
Sasa mambo ya CHADEMA humu yanatokea wapi tena?

Hii inaonyesha tuna safari ndefu ya kujadili issues ambazo zina maslahi kwa taifa kiasi kwamba inaweza ikaja issue ambayo ni general lakini kutokana na ushabiki wa kisiasa mtu anaanza kutafuta gap ili ahusiche na chama kingine, kwenye mpira sasa hivi uzalendo umerudi hakuna u-simba na yanga sana kwenye timu ya taifa kama zamani
 
Naomba kwenye dhifa ya chakula cha usiku iwe kitaifa na sio kichama wala kifamilia.Sitegemei kuona kinamama wa ccm wala kirizione kwenye hiyo dhifa.

Pia napendekeza kwenye vikao vya wake wa maraisi wa Africa na mama Anna mkapa naye awepo.Huyu mama anaakil vizur kulinganisha na huyu tuliyenaye

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Safi sana . Na KIMADA yule wa kihaya anayezini na rais mtarajiwa wa CDM dr SLAA awepo maana naye nasikia ana akili sana
 
acheni ujinga wa ki vyama vyama hi ni heshima kubwa kwa nchi yetu,habari ya magamba wangoje 2015
 
Duh! JK Angekuwa anasafiri Hivi kwa Gharama Kama hizi Kuna Watu wangeandamana uchi wakiongozwa na Nyikam John
Ziara ya Obama ni sehemu ndogo sana ya bajeti nzima ya serikali ya Marekani. Ni kama kununua ndege moja ya kijeshi B-52 bomber. Kumbuka hii ni ziara yake ya pili Afrika toka aingie madarakani. Pili uwepo wa monowari zake ni sehemu ya bajeti ya ulinzi ya Marekani ya bahari ya Hindi. Hizo meli zipo siku zote bahari ya Hindi.
 
Matumizi ya maneno ni muhimu sana katika kufikisha ujumbe. Hapa ungetumia neno "tahadhari" baadala ya kutumia neno "onyo"....
 
Hiyo ratiba imekosewa,ina maana Obama ndio hataonana na Dr slaa au mbowe?au.hawajui?
 
Mbona sijaona chochote anachokuja kufanya kwa manufaa ya watanzania?
au ndo ile wasemao wahenga,,,JAMBO USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA KIZA?

Anajua Vasco da Gama tu. Mwulize kwa KISHINDO, atakujibu pia kwa KISHINDO.
 
Back
Top Bottom