Marekani yatangaza kusitisha misaada Ukraine

Marekani yatangaza kusitisha misaada Ukraine

Kwan Ukraine ndo alimvamia Urusi au Urusi alimvamia Ukraine ? maana sikumbuk vzr
Uamuzi wa mrusi,ni sawa na alivamiwa yeye,kwani jamii ya warusi walioamua kujitenga ndani ya Ukraine walikuwa wahanga wa uonevu na unyanyasaji wa way Ukraine hadi kuamua kuomba kujiunga na urusi.
 
Ni suala la kutoa hoja tu, kama unayo. Hiyo michezo ya kupeana majina ya kipuuzi haiongezi thamani ya hoja yako.

Nimesema, mpaka sasa hakuna kauli rasmi kwamba Marekani imesitisha misaada Ukraine. Misaada inaendelea kupelekwa Ukraine.
Marekani hawezi kuendelea kupeleka silaha Ukraine maana silaha zake bora zaidi zilizopelekwa Ukraine zimeishia mikononi mwa Urusi mfano wa silaha hizo ni Bradley M2A2 ODS-SA IFV.
 
Toa propaganda zako za ku-Edit hapa sasa umechukua picha na maneno ya kiswahili huna chanzo huna lolote, si lazima uje hapa na kuandika chochote
[emoji28][emoji28][emoji28] povu
 
Kanyoosha mikoni. 🚶🚶
aka pumzi imekata. Basically Wamarekani hawapendi vita zinazochukua muda mrefu, hata ile ya Afghanistan ilienda almost miaka 10 mpaka wakasanda. Syria walisanda.
 
Aliyesema hivyo ni nani?
Screenshot_20230930-151618.png
 
Back
Top Bottom