Marekani yatangaza kusitisha misaada Ukraine

Marekani yatangaza kusitisha misaada Ukraine

Wafuatiliaji makini wa mienendo ya kivita walisema zamani kuwa Ukraine haikuwa na uwezo wa kuishinda Urusi.
Urusi kutoka kyiev hadi majimbo ya mpakan , kwel Ukraine ni dhaifu , Je Urusi amesonga mbele tangu aliporudishwa nyuma?
 
Kwahiyo Ukraine alidhania atasaidiwa miaka yote ameshaingizwa shimoni apambane Sasa na Hali yake
wewe ndo ulizania hivyo , walikuwa wanaweka wazi wanajenga jeshi imara la Ukraine , jiulize je Urusi amesonga mbele ? tangu mlipoanza kusema Ukraine kapokonywa misaad na Israel
 





Endelea kukaza fuvu
Wewe mmarekani wa namtumbo unabishana na taarifa ya whitehouse au sio ?
Ni suala la kutoa hoja tu, kama unayo. Hiyo michezo ya kupeana majina ya kipuuzi haiongezi thamani ya hoja yako.

Nimesema, mpaka sasa hakuna kauli rasmi kwamba Marekani imesitisha misaada Ukraine. Misaada inaendelea kupelekwa Ukraine.
 
Je Urusi alipovamia katikati ya nchi na akarudishwa nyuma , je amewai songa mbele tena?
Na jiulize ile miji iliyotekwa yote kuna mji aliowahi kuukomboa kutoka Urusi.Miji yote imeshajengwa upya na watu kupewa uraia wa urusi.
 
mnamaanisha kuwa ss Ukraine itashindwa vita ? NDIO MAANA TULITAWALIW , AKILI ZETU ZINAONA HAPA MBELE YETU HATUNA FUTURE
Ukishakua na fyucha wewe inatosha
Ukraine kushindwa nisuala la muda tu hata kama dunia nzima mtaungana kumsaidia kwa hapa alipofikia hatachomoka
 
je Urusi anasonga mbele?
Yaani ukiangalia Habari ya jana kwenye magazeti uk yanasema kuwa kuna panya wamejaa kwenye mahandaki ya majeshi na nyoka pia
Yaani wakilala tu panya anauma kidole na wakiamka asubuhi wanakuta wamelala nao

Gazeti hilo la mirror jisomee kidogo
20231205_175443.jpg
 
Back
Top Bottom