Marekani yatangaza kusitisha misaada Ukraine

Marekani yatangaza kusitisha misaada Ukraine

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Marekani imesema mpka kufikia mwishoni mwa mwaka 2023 haitakuwa na fedha tena za kuisaidia Ukraine. Hata misaada ya silaha nayo itasitishwa.

Chanzo: Swahili times
Screenshot_2023-12-06-05-11-39-619_com.instagram.lite.jpg
 
Si mlikuwa mnasema misaada ya marekani kwa Ukraine haisaidii chochote?Leo hii misaada inasimamishwa kwa muda mnashangilia!

Congress wakipitisha Tena kifurushi Cha msaada kwa Ukraine leteni thread!



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Imesaidia nini?wakati counteroffensive imefeli huku Russia anaendelea kuchukua maeneo?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Marekani imesema mpka kufikia mwishoni mwa mwaka 2023 haitakuwa na fedha tena za kuisaidia Ukraine. Hata misaada ya silaha nayo itasitishwa.

Chanzo: Swahili times View attachment 2834263
Toa propaganda zako za ku-Edit hapa sasa umechukua picha na maneno ya kiswahili huna chanzo huna lolote, si lazima uje hapa na kuandika chochote
 
Back
Top Bottom