Marekani yatangaza kusitisha misaada Ukraine

Ulitaka source iwe nani ndio uone kua ni habari ya kweli? ndio nyie hua mnajiona ni inferior na kuona wazungu ndio superior,

Unaonekana umetawaliwa na fikra za kitumwa.
Kivipi yaani ana salamu ya kitumwa?vazi la kitumwa?vyakula vya kitumwa?,lugha ya kitumwa?....?
 
Screenshot_20231206_122109.jpg
 
Taarifa uliyoleta haina maudhui ya kutosha. Nafikiri hao Swahili Times watakuwa wameambatanisha taarifa zaidi chini ya hicho kichwa cha habari kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Kwa kifupi, mpaka sasa hakuna kauli rasmi kwamba Marekani imesitisha misaada Ukraine.
 
Usahihi ni kwamba spika wa bunge la House of Representatives kutoka chama cha Republicans amekataa kupeleka bungeni muswaada wa msaada kwa Ukraine upigiwe kura kwa sababu MAGA hawataki Ukraine ipatiwe pesa.
 
Yeah! Baadhi ya Republicans wanataka mabadiliko ya sera kuhusu mpaka wa Marekani na Mexico ili wakubaliane na misaada kwa Ukraine. Suala sio Marekani kuishiwa fedha.

Nimezungumza kuhusu hili kwenye uzi mwingine hapo chini. Nyuzi kadhaa kuhusiana na hii habari zimeletwa jukwaani bila maudhui ya kutosha.
 
Taarifa uliyoleta haina maudhui ya kutosha. Nafikiri hao Swahili Times watakuwa wameambatanisha taarifa zaidi chini ya hicho kichwa cha habari kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Kwa kifupi, mpaka sasa hakuna kauli rasmi kwamba Marekani imesitisha misaada Ukraine.

Endelea kukaza fuvu
Wewe mmarekani wa namtumbo unabishana na taarifa ya whitehouse au sio ?
 
Kanyoosha mikoni. [emoji124][emoji124]
wazungu watawatala milele , washaunda joka jiran na Urusi kisha wanajitoa hlf baadae utasikia Urusi anarushiwa vitu nchini kwake , na hatokuwa na sababu ya kutanua mgogoro kwenda nchi za magharibi maana hawatakuwa wanahusika na lolote hapo Ukraine
 
Kuna mijitu myeusi bado imefungwa minyororo ya kitumwa vichwani mwao.
je urusi anasonga mbele ? nyie wavaa kobaz akili yenu inaishia unapoona na macho , yaan wenzen wamelijenga jeshi la Ukraine limekuwa imara unataka watume misaada ya nn sasa?
 
Back
Top Bottom