Hii inchi ngumu kweli kuiongoza.
Kuna baadhi wamefurahi sanaa juu ya haka ka juhudi ka jpm kuna baadhi wanatamani ashindwe kabisaaa wapate cha kuongea,,
Swali akishindwa sijui wewe utaenda wapi???
Kuna wana ccm mpaka sasa hawataki kumsikia jpm kabisaaa na kuna wapinzani ndoo hawataki hata kuliona jina lake mahali,, kwani anafanya mambo ambayo walitamani kuyafanya kwa wana inchi,, ña kwa jinsi wanavyowajua wabongo wanajua tayari hili tufani litaondoka nao kama si wote basi weengi
Swali sasa huyu rais ni wa upande gani???