enery
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 368
- 439
kama barick peke yake alifanyiwa auditing anatakiwa kulipa kodi yetu ya bil 80 wameona tukiendeleza figisufigisu jamaa atachukua migodi yake wekeni mambo sawa balozi tanzania umesikia hakikisha acacia, barick nk wanafanya kazi vizur. Lazima waachie pesa, jeuri hiyo hawana kwa Mugabe wala Museven hapa kuna kitu wanajua wakizingua wameisha